Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni takribani mwezi mmoja sasa toka umuondoe aliyekua mkuu wa Jeshi la Magereza. Je, lini utateua mkuu mpya?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bandiko hili ni kwa Watanzania wapenda maendeleo, ustawi na maisha bora kwa watu wote. Mwigulu Nchemba amekuwa waziri mvivu wa kufikiri anayetaka seriakali kunyonya wananchi kwa kila...
61 Reactions
203 Replies
10K Views
Kwa mujibu wa Katiba yao ni mtu ndiye anayeombwa na Halmashauri kuu kuwa Mwenyekiti wa chama chao Taifa na siyo wanachama wanaomba kugombea nafasi hiyo. Kwa nini Wenyeviti woote kuanzia ngazi ya...
3 Reactions
5 Replies
787 Views
..Tumsikilize Mh.Bwege kuhusu alichokiona ktk kampeni za uchaguzi mkuu wa Kenya.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT, na ni matumaini yangu Kazi inaendelea. Mwezi uliopita China ilitoa certificate of clearance kwa makampuni zaidi ya 300 ya Tanzania kuingiza na kuuza bidhaa mbalimbali...
1 Reactions
43 Replies
2K Views
Baada ya kuona nchi inapiga hatua kwa kasi chini ya Rais mpendwa wa awamu ya sita, madaui wa taifa kupitia vibaraka wao wameibuka kwa kasi sana Mama hata halali kabisa akiwaza jinsi ya kuwaletea...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge mkoani Tabora. Kauli hiyo...
0 Reactions
4 Replies
520 Views
Vyakula vimepanda bei. Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali Maisha yamekuwa ghali. Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini. Sasa unaleta porojo! 👇
6 Reactions
59 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa...
11 Reactions
62 Replies
5K Views
Kwanza nianze kwa kupongeza Wakurugenzi na watendaji wa mtandao pendwa wa JamiiForums. Pili naomba nikili yawazi yakuwa maboresho yaliyofanywa na JF Kuna wanaJF wengi tumekuwa nje ya nje ya...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mgombea yeyote hata asipofanya kampeni kabisa..Ila siku Moja akawa live kwenye tv akautangazia umma kuwa pindi akiwa Tanzania one atafuta TOZO aina zote...!! Baada ya kutamka hivyo nchi itazizima...
4 Reactions
10 Replies
755 Views
Mufti mkuu wa Tanzania amewataka waislamu kuiombea sensa leo ijumaa. Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewataka waumini wa Kiislam kote nchini kuitumia Ijumaa ya kesho...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Tukio la mashabiki wa Simba la kuingia na jeneza uwanjani limewakera wanaoitwa Maaskofu na viongozi wa dini na tumeshuhudia matamko kadhaa kutoka kwa Askofu wa Kikatoliki Kilaini na mzee wa mkono...
36 Reactions
96 Replies
8K Views
Nimesoma na kutafakari ujumbe wa Rais wa Zambia Hakainde Hichelema na kutafakari kwa kina sana. Nimejiuliza hivi mama wewe na mawaziri wako hamuwezi kujifunza lolote kutoka kwa huyu kiongozi...
1 Reactions
6 Replies
663 Views
Hii nchi kiwango cha kujipendekeza nasema ni cha kutisha sana, si viongozibwa dini, si wanasiasa, si vijana si wasomi si wasanii yaani kwa sasa ni mwendo wa kujipendekexa, kujikomba, kutafuta u...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Tanzania Viongozi wote wa SERIKALI na CHAMA wananunuliwa Ma V8 yenye Thamani ya BILIONI 558 na SERIKALI kila MWAKA licha ya UMASIKINI wa WANANCHI Wake. Zambia VIONGOZI wa SERIKALI na CHAMA...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Tuache utani hii serikali inachapa kazi jamani, raia wako very happy wanasema mama anaupiga mwingi hadi unamwagika, Mungu awape nini watanzania kupata Rais ambaye anachapa kazi masaa 24 kwa ajili...
2 Reactions
6 Replies
900 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum toka Singida, Christina Mughwai Lissu(CHADEMA) amefariki dunia kwa ugonjwa wa kansa. Amefia hospitali ya Aghakhan Dar ==== Waheshimiwa nawasalimu kutoka...
4 Reactions
303 Replies
69K Views
Nape anashiba na kusaza awamu hii. Mama alishamtoa wasiwasi Nape na mawaziri wengine kwamba hatowatumbua hata wakikosea. Hivyo hawana hofu tena. Nape anaulizwa kuhusu TOZO mpya za miamala ya...
4 Reactions
94 Replies
7K Views
Ni Ushauri tu Nadhani wachumi hapo Hazina mmenielewa japo ni ngumu kumesa Ila Wanasiasa wa CCM mtanishukuru 2025 Unaweza kuleta maendeleo kwa kuacha matumizi yasiyo muhimu huku ukijali ustawi...
0 Reactions
2 Replies
405 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…