Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu mheshimiwa waziri Mwigulu Lameck Nchemba, ninafurahi kukuandikia barua hii fupi yenye swali moja ndani yake. Muheshimiwa waziri Tozo hii katika miamala ya kibenki ni ya nini tena?. Ukipata...
1 Reactions
0 Replies
438 Views
Picha za zamani za Ruto akiwa katika kazi ya kutangazwa Injili
1 Reactions
2 Replies
837 Views
USIKU MWEMA NDUGU AUGUSTINO LYATONGA MREMA. Leo 13:15hrs 21/08/2022 Usiku mwingine tena,mwamba umelala,daima tutaikumbuka mikutano yako na wananchi, mabomu ya machozi yaliyokuwa yakipigwa...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Mambo 10 yanayoutofautisha uchaguzi wa Kenya na nchi zingine Afrika 19 Agosti 2022 Na Yusuph Mazimu BBC Swahili Kenya imefanya Uchaguzi wake mkuu Agosti 9, 2022, na kumchagua William Ruto kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu. Ukiangalia namna mambo yanavyokwenda kwenye Jamhuri yetu hii pendwa utaona wazi kabisa kuwa kuna ombwe la uongozi. Inaction is everywhere. Inatokea issue critical ambayo inahitaji...
0 Reactions
3 Replies
598 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea Kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa Chama cha TLP Taifa Augustino Lyatonga Mrema. Tunatoa pole Kwa familia, ndugu...
0 Reactions
1 Replies
663 Views
Sasa hivi mitandaoni ni kilio cha tozo na hii ni kwasababu tozo imetugusa wote na si kundi moja katika jamii, otherwise kilio kingekuwa si kikubwa kiasi hiki na huu ndio ujinga mkubwa wa sisi...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Ishu ipo kwenye gap lililopo kwa Sasa,, Ikiwa makundi kadhaa yanayo wajibika karibu sawa kwenye jamii, kundi moja linapata malipo ya zaidi ya 13mil na marupurupu lukuki. Hawa walio chini...
0 Reactions
0 Replies
455 Views
MOSHI: WAZIRI SIMBACHAWENE AMELIONYA JESHI LA POLISI KUBAMBIKIZA WATU KESI. #Moshi: Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amelionya Jeshi la Polisi kwa tabia za baadhi ya askari wake...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau Nawasalimu Napenda kuwahabarisha kuwa kutokana na kuibuka kwa MATOZO kila kukicha ktk nchi hii kuna Uwezekano mkubwa sana wa Kurudishwa tena ile "KODI YA MAENDELEO" Kodi ambayo kila mwenye...
1 Reactions
46 Replies
2K Views
Ndugu zanguni, kwa sasa nadhani kila Mtanzania ameshaonja joto la jiwe mara baada ya kuondokewa na mpendwa wetu JPM. Hakuna Mtanzania aliyebaki salama. Mpaka sasa, 3/4 nzima ya pengo aliloliacha...
13 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa uchache baadhi ya tuliowapoteza; 1. Magufuli 2 Mkapa 3. Maalim Seif 4. Makaidi 5. Mtikila 6. Baregu 7. Filikunjombe 8. Kingunge 9. Kijazi 10. Ndesamburo 11. Mrema Mungu wa mbinguni uwarehemu...
0 Reactions
13 Replies
767 Views
Mwaka 1995 Tz elikua inaelekea kupata muelekeo mpya wa kisiasa na kiuchumu baada ya kupiteza miaka 35 kwenye siasa za ujamaa, ambazo hazikubadili maisha ya wanachi na maendeleo ya nchi tangu uhuru...
0 Reactions
0 Replies
384 Views
1. Serikali ichague kubaki na Wakuu wa mikoa na wilaya au Ma RAS na DAS. Hakuna haja ya kuwa na hivi vyeo vya aina mbili kwa pamoja 2. Ubunge wa viti maalum uondolewe 3. Ruzuku za vyama vya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasomi: Tozo mpya ya benki ni batili, ifutwe SUNDAY AUGUST 21 2022 Summary Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania ni watu wa kusahau mno ndio hulka yetu kuu.Tunapenda kulalamika mtandaoni ila hatuwezi kufanya kitu kikawa na impact yoyote. Wakati tozo hizi Nchemba anazileta tuliambiwa kuna ujenzi...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka H. Shaka (MNEC) ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Igunga kwa usimamizi mzuri wa Fedha za Miradi ya Maendeleo na kuiita ni...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Huku tozo, kule kina Simbachawene. Huku dhuluma, watuhumiwa wakuu vyombo vya dola. Haki hamna, masanduku ya kura hayaheshimiwi. Mambo lukumba lukumba, tunatokaje hapa? Muhimu tukatambua...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Aliyeleta wazo la Tozo za Bank transfer alilenga kila mshahara wa watumishi wa serikali ukatwe kwa sababu mishahara yote inapita benki lakini kasahau kuwa mshahara huo huo umeshakatwa PaYE na kwa...
0 Reactions
2 Replies
707 Views
Mwenyekiti wa TLP Augustino Lyatonga Mrema, ameonekana kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Jijini Dodoma akiwa na Mkewe , ambapo baada ya kuingia alishangiliwa kwa nguvu na Wajumbe wa Mkutano huo, kiasi...
14 Reactions
36 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…