Salamu za pole

Salamu za pole

BAVICHA Taifa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
117
Reaction score
662
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea Kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa Chama cha TLP Taifa Augustino Lyatonga Mrema.

Tunatoa pole Kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, wanachama wa TLP na watanzania wote kwa msiba huu mzito.

Tutamkumbuka Mzee Mrema kwa mchango wake alioutoa katika kupambania Demokrasia ya mfumo wa vyama vingi nchini.

Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana na libarikiwe.

John Mrema, Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano, Itifaki na Mambo ya Nje.
IMG_20220821_125403_897.jpg
 
Salamu zimefika. Ila muwakumbushe pia na wale watoto wa mama (UVCCM) nao watoe salam zao za pole.

Siyo muda wote ni kujipendekeza tu na kusifia kila aina ya ujinga, ili wapate uteuzi.
 
Back
Top Bottom