Tunaweka kumbukumbu sawa.
Kila mwenye nia ya kugombea Urais 2030 ajue tumeshaanza kuweka rekodi za Mema na Mabaya yake.
2030 hakutakuwa na wa kumsingizia utabebwa na matendo yako.
Mungu wa...
Watanzania wengi mitandaoni kazi ni kufatilia mambo ya umbea tu na udaku mambo ya nchi mnaachia wachache
Asilimia kubwa ya vijana wa nchi hii ni vijana wa hovyo wanajua tu kulalama na kazi yao ni...
Ndugu zanguni, kwa sasa Tanzania inapita katika kipindi kigumu sana ambapo fedha za Wananchi zinanyang'anywa kwa nguvu kupitia kitu kinachoitwa Tozo.
Je, ukikutana na Waziri wa TOZO mtaani...
Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali
TAARIFA
Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu...
Suala la tozo limezua mjadala katika mitandao mbalimbali ya kijamii (hasa miamala ya kielektroniki)hivyo kupelekea maoni tofauti tofauti wengine wakipinga na kudai zinazidisha ugumu wa maisha...
Ngoja tuhamie Burundi ubaki wewe na familia yako Tanzania mfaidi uhondo wa nchi yetu. Uwe na siku jema na Sabato njema na famila yako.
Waulize akina basil Mramba, Jiwe etc , wapigie simu maana...
Naam It' another day another dollar kwa wapigaji wa jamhuri ya Tozonia, mambo ni bull bull sana,lete maneno dj kama kuna zilizopigwa tutafidia na za tozo bwana weeee, tozo oyeee
Gazeti la juni...
Mgombea urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga ambaye alishindwa katika uchaguzi wa Agosti 9 na Naibu Rais William Ruto bado ana matumaini kiasi kwamba alisema anaamini kabisa Mahakama ya Juu...
Huyu kijana kamvunjia sana heshima mzazi wake kwani jamii inamhukumu mzazi wake kuwa ndivyo alivyomlea. Ningekuwa mimi ndio mzazi wake hata kama ni mhudumu wa ofisi ningejiuzulu kazi hiyo, ili...
Kweli awamu ya sita aliyenamadaraka ashindwe mwenyewe ni wakati wa kula huku maskini wakipiga kelele na pamba zimewekwa masikion na viongozi utake usitake lazima nchi iende hata kwa tozo ya aina...
Wakati CCM ilipokuwa inafuata itikadi ya Ujamaa nyakati ngumu za kiuchumi kama hizi Taifa lilijifunga mkanda kuanzia kwa Kiongozi hadi tarishi
Ila katika zama hizi kumwambia Waziri aweke V8...
Zungu ambaye sasa ni naibu Spika Hakika Taifa lita kukumbuka kwa uzalendo wako wa kupeleka hoja bungeni kuhusu tozo, Tozo imesaidia sana kupunguza matatizo ya watoto kukosa shule, Zahanati kukosa...
Mrajisi wa vyama vya ushirika, Dk Berson Ndiyege ametekeleza maagizo yaliyotolewa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kumsimamisha kazi mrajisi msaidizi wa vyama vya ushirika Mkoa wa Tabora, Absalom...
Serikali ya CCM inachofanya ni Uporaji wa Pesa za wanachi! Huwezi Mkata mtu PAYE au Income tax halafu uje tena umkate tozo ya Serikali kwa kutoa pesa bank kwenye Pesa hiyo hiyo.
Thats Robbery in a...
Husika na mada tajwa hapo juu,
Kwako Waziri wa Afya UMMY MWALIMU, kwanza nikupe pole na majukumu yako ya kila siku japo ni wajibu wako kuyatekeleza, na pili nikupongeze kama Mbunge na Waziri kwa...
Katika wilaya ya Mbinga kijiji cha Ruanda mkoani Ruvuma ni moja ya sehemu ambayo yanatoka makaa ya mawe mengi
Kumekuwa na utaratibu ambao naona hauko sawa na sijajua ni Serikali inakalia kimya...