Nje ya Ujamaa Tozo haziepukiki kwa sababu viongozi hawawezi kufunga mikanda

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,886
141,818
Wakati CCM ilipokuwa inafuata itikadi ya Ujamaa nyakati ngumu za kiuchumi kama hizi Taifa lilijifunga mkanda kuanzia kwa Kiongozi hadi tarishi

Ila katika zama hizi kumwambia Waziri aweke V8 pembeni na aanze kutumia IST sidhani kama atakuelewa

Zama hizi kuwaambia Wabunge wapunguze Posho zao za kukaa Bungeni sidhani kama watakuelewa

Hivyo hakuna namna Tozo zitaondoka
 
Vyovyote vile ila swali langu ni hili; ninapotoa akiba yangu (SAVINGS) ambayo niliwakabidhi benki wanitunzie (na service charge juu) nakua nimeingiza kipato gani cha kustahili kukatwa kodi/tozo? Wataalamu wa kodi mnisaidie
 
Kwanini usubiri akuelewe usimfanye aelewe hata kama ni kichwa maji?
 
Vyovyote vile ila swali langu ni hili; ninapotoa akiba yangu (SAVINGS) ambayo niliwakabidhi benki wanitunzie (na service charge juu) nakua nimeingiza kipato gani cha kustahili kukatwa kodi/tozo? Wataalamu wa kodi mnisaidie
Tozo siyo kodi bali mchango wa kizalendo

Hivyo utachangia kiasi fulani kutoka kwenye hiyo akiba yako
 
Wakati CCM ilipokuwa inafuata itikadi ya Ujamaa nyakati ngumu za kiuchumi kama hizi Taifa lilijifunga mkanda kuanzia kwa Kiongozi hadi tarishi

Ila katika zama hizi kumwambia Waziri aweke V8 pembeni na aanze kutumia IST sidhani kama atakuelewa

Zama hizi kuwaambia Wabunge wapunguze Posho zao za kukaa Bungeni sidhani kama watakuelewa

Hivyo hakuna namna Tozo zitaondoka
Umeandika ujinga, kwa hio waziri akitumia lets say Toyota Land cruiser hard top Jua halita zama? Hao wengine wanao tumia hizo gari wao wana damu ya kunguni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom