Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, Rc Kafulila ameifananisha kasi ya maendeleo inayopigwa na Rais Samia inafanana kabisa na ile ya mashujaa wetu, " Kumbukumbu ya Mashujaa inatukumbusha...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
By nature Tz wamejawa na ubinafsi. Kila Mtu anamuwinda mwenzake. Mtanzania anaweza kuiba serikalini, na Serikali inawaza kumuibia Mtanzania. Hivyo nahitimisha kuwa Maisha ya kuwindana hayafai...
0 Reactions
1 Replies
772 Views
Msemaji wa serikali ndg Gerson Msigwa akitoa mrejesho wa kinachoitwa kikao cha serikali na TUCTA leo tarehe 26/7/2022 Lugha gongana. Msemaji wa serikali anasema hivi, TUCTA wanasema vile. Ni...
8 Reactions
41 Replies
6K Views
UTEUZI CCM: UVCCM yateua makatibu wapya wa wilaya kote nchini Nazidi kuchambua majina nimeona Kuna wakuu wa shule 53 walioteulia kuwa makatibu wa wilaya wapya
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, William Kusila (78) amefariki dunia leo Jumapili Agosti 21, 2022 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam. Chanzo: Tanzania Editors...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wengi walikuwa bado hawajahisi maumivu ya tozo wakitoa pesa kwa teller Bank na kwenye ATM kwani Bank nyingi zilikuwa hazijafanya automation kutekeleza sheria. Pongezi kubwa ni kwamba Watanzania...
8 Reactions
23 Replies
4K Views
Wale jamaa wa lile genge ovu wanakomeshwa kweli kweli chini ya Kamanda Hangaya (Chui Jike). Nadhani wote mnalifahamu jina la lile genge. Naomba nisilitaje hapa. Kwa sasa wananunua petroli elfu...
24 Reactions
54 Replies
5K Views
suffocate - hali ya kuteseka Kwa sisi ambao huwa tunamulika masuala ya kiuchumi na ya kiserikali, sijashangazwa kabisa na na ujio wa tozo tunazozipigia kelele. Serikali ya Tanzania ipo kwenye...
2 Reactions
1 Replies
803 Views
Huyu kasema ukweli mtupu
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Nimemsikia Membe akizungumza kwa kujiamini kama ilivyokua kawaida yake. Mimi namshangaa ni msomi wa aina gani asiyeweza kutathmini mambo kisayansi hata kidogo. Yeye ni mwanasiasa asiyekua na...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema sheria ya tozo haikutungwa kwa kukurupuka, ilipitia hatua zote za kisheria ikiwemo bunge. Endapo sheria yoyote inalalamikiwa kwamba haifai, ili ifutwe ni...
6 Reactions
74 Replies
4K Views
Wanasema ukitaka kumuua nyani mpe jina baya Pamoja na Rais kuwatoa wale wasaidizi wa magufuli kwa 98% kutokana na msukumo wa chuki ya watu waliomzunguka na anaowaamini lkn inaonekana kutokufanya...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu, Korogwe, Tanga Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka madiwani na wabunge kukataa kupitisha miswada ya Sheria yenye...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Pongezi kwa Mh. Nchemba Leo nasimama hadharani bila kupepesa macho. Ndio, nakupongeza kwa ubunifu wa kukusanya kodi bila manyanyaso kwa raia. Tulishuhudia maduka yakifungwa kwa ajili ya kodi...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Mengi yamefanyika chini ya Mwaka Mmoja. Nayakumbuka haya machache ya Mwaka mmoja wa Rais Samia ongeza yako… 1. Amepunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66. 2. Amejenga madarasa 1500...
1 Reactions
8 Replies
621 Views
Mwisho wa utawala wa chama cha siasa - CCM katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikuwa iwe wakati wa u Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete (2005 - 2010). Ukacheleweshwa kwa kitambo kidogo lakini...
42 Reactions
171 Replies
17K Views
Ndugu zangu Ni Ukweli usiopingika kuwa Mama yetu mh Samia alichukua nchi katika wakati ambao nchi na wananchi walikuwa wamegawanyika,. Mama alikuta watanzania...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Miaka ya 1970 wananchi walihama kutoka sehemu moja hadi nyingine ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii. Sasa wananchi wanatoka Ngorongoro kwenda Msomera kwenye huduma bora za kijamii...
2 Reactions
4 Replies
569 Views
ZIARA YA SHAKA YAACHA NEEMA MNADA WA MIFUGO IGUNGA Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea na kukagua mnada wa mifugo Igunga ambao ni wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kawaida Yao, tengeneza tatizo tatua tatizo then jipongeze! Ndio wanachotaka kufanya. Gerson Msigwa anasema kuwa Wizara ya Fedha itatoa "ufafanuzi" kuhusu Tozo maana kuna upotoshaji mkubwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…