Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepitisha majina manane kati ya 26 kwenda kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala).
CCM inaungana na vyama vya ACT-Wazalendo na Chama cha...
Kupitia account yake ya Twitter, Heche anasema mkuu wa wilaya ya Nyamgana, Mwanza kaamrisha wazazi wenye watoto shule za Mongela na mlimani kulipa tshs 10,000 kila mmoja kwa ajili ya ujenzi wa...
Jana nimeshuhudia askofu mkuu wa Canterbury akimtangaza Prince Charles kuwa Mfalme mpya wa Uingereza
Hii ni kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth ambaye ni mama yake
Nikajua kumbe Uingereza...
Aliyeleta wazo la Tozo za Bank transfer alilenga kila mshahara wa watumishi wa serikali ukatwe kwa sababu mishahara yote inapita benki lakini kasahau kuwa mshahara huo huo umeshakatwa PaYE na kwa...
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewataka waandishi wa habari, kufanya kazi zao kwa kufuata sheria, taratibu na weledi na kwamba hakuna atakayenyanyaswa, wala kunyang’anywa vitendea...
Rais Samia akiwa Iringa
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi.
Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena...
TCRA imeipiga faini ZAMAMPYA TV ambayo ni TV ya mitandaoni kwa kile kinachoitwa kuchapisha maudhui yasiyofaa , Zamampya ambayo ni sehemu ya DARMPYA MEDIA LTD inatakiwa kulipa shilingi za...
Inasikitisha sana kwa nini watu wanakuwa na tafsiri tofauti juu ya mtu kuzungumzia ukweli wa suala husika. Lakini mtu anakuwa na povu ambalo halihusiki kabisa.
Nani asiyejua kuwa hayati JPM ndio...
Na Mwandishi Wetu, WMJJWM, Pwani
Serikali imezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wenye lengo la kuleta ufanisi wa utekelezaji wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika ( AfCFTA) katika Ukumbi wa JNICC - Dares Salaam, tarehe...
UVCCM TAIFA
SEPTEMBA 12, 2022
DAR ES SALAAM
NUKUU ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN kwenye kongamano la Wanawake na...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Kinana amesaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Septemba 12, 2022.
Waziri wa Habari Nape Nnauye ametoa onyo kwa viongozi wa makundi ya WhatsApp (Admin), wazazi na wanaohusika kusambaza mitandaoni jumbe na video zinazohamasisha vitendo vya usagaji na ushoga na...
"Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Mhe. Paul Makonda, amezindua zoezi la kupuliza dawa katika maeneo tofauti ya Mkoa wake Ili kuua vidudu vinavoeneza ugonjwa wa Corona (COVID 19)"
Kuna taarifa kwamba Chadema ni miongoni mwa vyama mashuhuri duniani vilivyoalikwa kushiriki mazishi ya Malkia Elizabeth wa Uingereza.
Bado nafuatilia orodha kamili ya hivyo vyama.
Ukiwakuta hawa wamevaa ma scarfs ya bendera ya taifa na kushikilia ilani ya CCM kwenye makwapa yao unaweza kusema hii nchi imebarikiwa sana.
Wengine walikwapua mabilioni ya wizara ya utalii na...
Habari,
Akilihutubia bunge kwa mara mwisho mara baada ya kuteuliwa kuwa makamu wa Rais, Dr Philip Mpango ameahidi kuwa miradi yote iliyoachwa na hayati Rais Magufuli lazima ikamilishwe. Dr Mpango...
Askofu Dr Malasusa wa KKKT - DMP ameiomba sana Serikali kupitia kwa RC Rose Senyamule wa Dodoma kuangalia upya kama kuna ulazima wa kuendesha Kamari na Bahati Nasibu hapa nchini
Askofu Malasusa...