njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,663
Kupitia account yake ya Twitter, Heche anasema mkuu wa wilaya ya Nyamgana, Mwanza kaamrisha wazazi wenye watoto shule za Mongela na mlimani kulipa tshs 10,000 kila mmoja kwa ajili ya ujenzi wa madarasa.
Tuseme tu ukweli kama nchi tushafeli ni propaganda kutwa na kufanyana wajinga tu.
Haya huyo mtembelea VX katoa hiyo amri kesho utasikia tozo katika wilaya ya nyamagana imejenga hospital 4000, madarasa 12000 blah blah.
It's a shame kutawaliwa na watu wenye maarifa madogo jinsi ya ku utilise utajiri wa asili wa nchii wanawaza kukamua na kuibia raia na kuwatia stress tu.
Wanachowaza wao kutanua kwenye ma VX huku wakiwaona wanuka jasho kama vikaragosi