Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiongozi wa nchi yeyote anapokuwa kwenye nchi ya ugenini, lojistiki za usalama wake zinashughulikiwa na nchi husika. Kama kila kiongozi angekuwa na msafara wake maana yake ni kwamba, resources za...
22 Reactions
34 Replies
2K Views
Mbunge wa Viti Maalum, Sophia Mwakagenda ametaka watuhumiwa wasiitwe magaidi kabla ya uchunguzi kufanyika.
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais wa Tanzania ndugu Jakaya Kikwete ameshawasili nchini Afrika ya Kusini kuhudhuria msiba wa Rais wa kwanza mweusi marehem Nelson Mandela. ----------------------------------------------------...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Umati wa watu umejitokeza leo nje ya Ubalozi wa Afrika Kusini jijini Dar es Salaam ukishinikiza kuachiwa kwa ndege ya Air Tanzania iliyoshikiliwa nhini Afrika kusini kufuatia kesi ya fidia...
17 Reactions
600 Replies
53K Views
Wadau wa sekta ya mafuta, mradi huu mkubwa wa bomba la mafuta Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania serikali zetu hazikutekeleza mikakati ya kuifahamisha dunia manufaa yake. Tulijifungia na kuongea...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Serikali ya Tanzania imeshindwa kutoa jibu la moja kwa moja kuhusu mikataba ya madini kuingizwa bungeni ili ijadiliwe kabla ya kuingia makubaliano na wawekezaji. Ni hoja ya muda mrefu ya wabunge...
2 Reactions
2 Replies
922 Views
Makamu wa Rais yuko Marekani kuhudhuria mkutano, Rais yuko Uingereza kwenye msiba. Kuna mawaziri wako nje ya nchi kwa ziara mbalimbali. Mambo haya ni tofauti na awamu iliyopita. Natamani...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ameandika Rais Samia Suluhu Hassan: Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi katika kipindi hicho, Taifa letu limepitia kipindi cha furaha, majonzi...
11 Reactions
113 Replies
14K Views
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili London nchini Uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...
10 Reactions
156 Replies
13K Views
Jedwali linaonesha serikali itakopa walau trilioni 12 na pengine misaada ifikie trilioni 2.4 Makusanyo ya ndani wameweka trilioni 28 lakini uhalisia haivuki trilioni 23. Kwahiyo mikopo ni zaidi...
0 Reactions
5 Replies
870 Views
Kwa sasa Dunia inapitia kipindi kigumu hivyo ni lazima kuwa makini kwa kila jambo Hawa Chadema wamejifungia Hotelini wanajadili nini kisichoisha?!!
6 Reactions
29 Replies
2K Views
CCM KUSHIRIKIANA NA CPV - VIETNAM KUKUZA FURSA ZA AJIRA NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesisitiza umuhimu wa kuendeleza na kuimarisha zaidi ushirikiano wa...
0 Reactions
3 Replies
609 Views
Wakati fulani JK aliwahi kusema uzuri au ubaya wa Rais utatokana na uwezo wake wa kuteua wasaidizi wake kwasababu Rais ni mtu wa kuletewa na kushauriwa japo yeye ndio mwenye maamuzi kwa kadiri...
1 Reactions
1 Replies
723 Views
Nafarijika sana napomuona Rais wangu samia anajichanganya. Anafungua nchi sana aisee... Nimemwona kwenye mwendokasi la huko England akienda msibani kwa Malkia Elizabeth. Afadhali Malkia kafa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, imekuwa mstari wa mbele kutekeleza kwa vitendo dhana halisi ya demokrasia hususan katika tafsiri ya demokrasia kuwa ni nguzo ya kisiasa...
1 Reactions
8 Replies
819 Views
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mkoani Mtwara imepokea meli mbili zilizoshusha mtambo wa kupakulia mizigo mizito bandarini. Mitambo hiyo inauwezo wa kwenda chini ndani ya maji kwa zaidi ya mita...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Muswada huu unapendekeza kufanya mrekebisho katika Sheria tano ambazo ni Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, Sura ya 147, Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Sheria ya Ushuru wa Barabara na Mafuta...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Imeandikwa Katika Biblia, kitabu cha Mithali 14:34 nanukuu "HAKI HUINUA TAIFA, BALI DHAMBI NI ADUI WA WATU WOTE" mwisho wa kunukuu. Pamoja na kuwa Mimi siyo Askofu wala Sheikh, lakini nafahamu...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote. Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai. Leo mtaenda kula X mass...
16 Reactions
102 Replies
7K Views
Mwanasiasa, Charles Kitwanga amesema haoni umuhimu wa Serikali kufanya Sensa nyingine baada ya miaka 10 kwa kuwa kuna njia nyingine za kupata idadi ya watu tofauti na hiyo iliyotumika. Amesema...
16 Reactions
80 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…