Mafisadi Nchi nzima Yalifurahi sana. Yalifanya sherehe na kushukuru. Hapa nikafunguka macho. Huyu mtu kwa nini alichukiwa na Mafisadi? Hili lilinishtua sana.
Nikaanza kujiuliza upya ni wapi...
AFRICAN UNION WATCH
(AU Watch)
AFRICAN UNION WATCH
(AU Watch)
Thinking ahead for Africa
Public Policy Analysis
Strategic Insight and Objective Analysis Practical and Effective...
Kumekuwa na hii tabia ya kuchukua mikopo kwa ajili ya shughuli mbali mbali zinazoitwa za kimaendeleo; ila kinachoshamgaza ni jinsi mikopo hiyo inavyogawanywa kwa usawa baina ya Watanzania wa Bara...
Ndugu zangu huo ndio ukweli japo Ni mchungu lakini ndio uhalisia wenyewe wa mambo, kwa Sasa hakuna mtu mwenye Akili Timamu na anayejiheshimu anayeweza akaanza kuiunga mkono Chadema
Kwa Sasa Ni...
Nimeshangazwa sana nilipotembelea hosteli za Magufuli pale UDSM kukuta watoto wa viongozi wa Chadema wamejazana humo kukaa! Nikajiuliza si walipinga ujenzi wake?
Hivi watu wengine hawana kinyaa...
Kama tunavyosherekea wagunduzi wa vitu mbalimbali na kuwapa tuzo, mfano akina Einstein, Tesla basi hapa Tanzania mnamo mwaka 2015 mara baada ya mzee wa nywele nyeupe kuwa mgombea wa chama fulani...
Waziri wa fedha Mwigulu alichokifanya ni kuwahadaha Watanzania maskini ambao asilimia kubwa hawatumii Benki wanatumia mitandao ya simu kufanya miamala.
Kwahyo sijajua Wabunge wanakazi gani kwa...
Ukiangalia mitandaoni ikiwemo hapa JF kwa sasa , habari za marekebisho ya Tozo zilizotangazwa Bungeni asubuhi hii , Wadau wengi japo wameyapokea marekebisho hayo kwa Tahadhari kubwa , LAKINI WOTE...
Mjadala unaendelea EATV kuhusu Ongezeko la ghafla la Wagonjwa wa akili
Mtaalamu wa Bingwa wa magonjwa hayo Dr Mgubulu kutoka Wizara ya Afya amepiga simu Studio na kusema chanzo kikuu cha...
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 uongozi wa Chadema ulitangaza kususia kupokea ruzuku kutoka Serikalini ikiwemo ruzuku ambayo walistahili kupata kupitia Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho kwa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema uamuzi wa kuongeza malipo ya kila mwezi utafanyika baada ya tathimini kuona uhimilivu wa...
Kama kawaida ya chama makini cha watu na watanzania kila kinapokohoa tu lazima asubuhi au usiku huo huo tushuhudie matamko ya serikali.
Ni juzi tu Mh Mbowe alikohoa kuhusu tozo basi baraza la...
Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha...
Matumizi ya mitandao ya kijamii inazidi kuongezeka kila siku na usipokuwa makini utaishia kuamini taarifa za uongo kila siku.
Leo tumeona Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akikanusha...
Nimeona mitandaoni hapa nchini kwetu, baadhi ya watu wakitoa maoni yao kuhusu viongozi wa Afrika na usafiri walioutumia walipokuwa wanaelekea eneo la msiba wa Malkia Elizabeth.
Mwanzoni...
Raisi wangu, kwa heshima na taadhima napenda kukusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mama kuna ule msemo unaosema kuwa "ukicheka na nyani shambani mwisho wake utakuja vuna mabua"...
Toka Jana jioni Viongozi wa dunia wameanza kwenda kumpa pole Mfalme Charles III, pichani akiwa na Justin Trudeau, Waziri Mkuu wa Canada.
Poleni waanglikana wote duniani
1. Wako tayari kuwaumiza wananchi wa chini kabisa kwa kuwaonea aibu wakoloni waliopewa jina zuri la wawekezaji. Rejeabu sababu wanazotoa za kuweka tozo kwenye miamala ya simu na ATM
Hakuna...