Kwanza kabisa Nianze kwa kukupongeza kwa namna unavyotekelaza majuku yako kwa namna ya kipekee kiasi kwamba nchi imetulia. Kama ilivyo kwaida ya Binadamu, wapo wanaobeza utendaji wako, wapi...
Kwanza kabisa Nianze kwa kukupongeza kwa namna unavyotekelaza majuku yako kwa namna ya kipekee kiasi kwamba nchi imetulia. Kama ilivyo kwaida ya Binadamu, wapo wanaobeza utendaji wako, wapi...
Nimekuwa nikisoma na kufuatilia mijadala mingi ya wananchi na wanaharakati wa masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi nk.
Wananchi na wanaharakati wengi wanaweza kukatishwa tamaa kupitia kauli za...
Ukiwauliza Wabongo wengi watakuambia duh, Tanzania twakata mbuga aisei, wengine wataisoma tu! Tuna barabara za juu kwa juu, mwendo kasi, SGR ya kisasa yaja....wataka nini tena?
Lakini waulize...
Kisingizio cha Mawakili wa Serikali kutokufika mahakamani ni mkutano wa mawakili wa serikali unaofanyika huko Dodoma.
Je, sababu hiyo inajitosheleza? Je, huu sio mkakati wa kupoteza muda kati ya...
Nianze kudklea interest,binafis siichukii ccm kwa kuwa ni chama Cha siasa Nina chukia matendo mabaya ya vijana wazee na viongozi wote wa ccm,kimsingi matendo mengi ya wanachama wa chama Cha...
Mara yameonekana maandamano ya kuwapongeza polisi kuuwa wanaosemekana majambazi.
Kwamba maandamano hayo yamekuwa ya amani yakipokelewa na RPC wa huko, ni jambo la kupongezwa kwani haki ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa changamoto inayowapata vijana wanapotaka kuongeza jamii inatonakana na uwepo wa lishe duni.
Ametolea mfano wa matumizi...
Kila chama kina utaratibu na Katiba yake, ninawashangaa wanasiasa waliokoma maneno ya kuzungumza wanawashwa na utaratibu wa Kikatiba unaofanywa na chama chetu cha NCCR Mageuzi.
CHADEMA mnatupaka...
Siasa za miaka hii zinahitaji mtima kweli kweli vinginevyo lazima ufirisike
Yaani Chawa tuliozowea kuwaona kule Chadema hasa wale Bavicha sasa huku CCM ndio wamejazana hadi inatosha
Nadhani...
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi amenisikitisha sana. Nimesoma majibu yake juu ya mapendekezo yaliyotolewa na vyama vya NCCR, CUF, NLD, CHAUMMA na CHADEMA kuhusu mwenendo wa uchaguzi na...
Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.
Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya...
Napata ufunuo ambao inaonyesha Rais Mama Samia atafanya vizuri sana kipindi cha kwanza cha miaka 5 lakini kutokana yanayoendelea ktk uchaguzi ndani ya CCM kipindi cha pili kinaweza kikawa kigumu...
Hakika njaa mbaya sana: vijana wa Lumumba akili zimewaruka muda wote wapo pembeni ya tv zao kusubiri tangazo la mkeka kutoka kwa mama. Mama nae inaonekana hayuko tayari kutoa mkeka kwa sasa
Njaa...
Tatizo la nguvu za kiume na mwili kwa Dar es Salaam chanzo chake ni stress na lishe duni. Vijana wengi wanakula mlo mmoja.
Si ajabu kwa kukuta watoto wa kiume wana vidonda vya tumbo pale Dar...
Ningelitamani kuona sheria hii imepitishwa Afrika ili kupunguza uwepo wa maraisi legelege kama mlenda
Mkiongozwa na raisi ambaye amepitia jeshini na akawa mzelendo kwa inchi yake hakika mmepata...
Nitumie vigezo gani kupima ufanisi wa serikali ya awamu ya sita?
1. Wingi wa mikopo
2. Wingi wa magari ya misafara ya viongozi
3.safari za kila mara nje ya nchi
4. Porojo
5. Tozo kila mahali
6...