Neno CCM masikioni Sasa Ni Kama kinyaa kwangu. Miaka 61 ukiongezea na ya TANU watanzania bado Wana nyimbo zile zile. Ufisadi.....ukupe, elimu duni......walimu wachache....uhaba wa vifaa vya...
Viongozi wengi waliopumzishwa wamekaa kimya huku wakijitaftia mkate wa kila siku kupitia kwenye kilimo na biashara mfano mzuri wapo wakina Lukuvi, Kabudi, Ally Happi, Makonda Mzee Ndugai n.k.wewe...
Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi
Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee...
Hakuna asiye jua kuwa kwa sasa kuna shida ya Maji na Umeme kwa baadhi ya maeneo hasa Mkoa wa Dar Es Salaam, tatizo ambalo kwa kiasi kikubwa limechangiwa na upungufu wa mvua ambazo zilitakiwa ziwe...
Nashindwa kuelewa kabisa Yani kwamba kuna mgao wa umeme au laaa. Tangu asubuhi huku Msasani hakuna umeme na hakuna taarifa zozote, hiyo haitoshi Jana maji hakuna leo yapo, umeme hakuna. Sasa haya...
Hakuna tena more death threats kama ilivyokuwa kipindi kilichopita tulishuhudia vitisho vingi kuliko wakati wote ule wa vyama vingi vya siasa katika our political history.
Rais Samia ni...
Mhe. Rais wa JMT, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, leo ni takribani unaelekea mwezi wa pili kuisha bila kulipwa posho yao ya mwezi kama mikataba yao inavyoonesha hawa madaktari...
Nchi ya kusadikika imesikika ikitoa msaada kwa nchi fulani hivi ya kwenye uso wa Dunia ukizingatia hakuna cha bure lakini yote kwa yote watakuwa wanenufaika na yanayoendelea katika nchi ya kisiwa...
Wakuu
Poleni na majukumu.
Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi.
Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na...
Morogoro Dsm ni kilometa hazizidi 200, hata kama kilometa moja ni bilioni moja, haizidi bilioni 200, hivi kama nchi tunakosa fedha hizi? Na asilimia kubwa ya eneo Hilo fidia ni kidogo.
Tiweke...
Miaka 50 ya muungano wa tanganyika na zanzibar ,zanzibar haijawahi kutoa rais wa muungano,rais wa kwanza nyerer kazaliwa butiama ,mwinyi kazaliwa kivule mkoa wa pwani ,mkapa mtwara na JK msoga na...
Straight to the point, mfumo wa taarifa za marejesho (e-filing System) unarudisha nyuma kasi ya maendeleo ya uchumi na kuikosesha serekali mapato kwa wakati.
Mfumo huo umezidiwa nguvu na umekua...
Visa vya John Pompeo viko zaidi ya milioni
Mwaka 2013 ,bosi wa chama cha wamiliki wa malori aliingia kwenye mikwaruzano na waziri wa ujenzi enzi hizo.bwana Pompeo
Iko hivi kulikuwa na sheria...
Nimekuja kutafakari kitu fulani hivi
Na mawazo yangu haya sio kwamba na dharau watu weusi au vipi ila ukweli usemwa anaye jua mpe sifa yake tu waafrica sisi bado saana
Kuna siku nilitembelea Dar...
Tar 4 nov 2022 waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na wadau wengine wa Elimu huko Dodoma,
Kwa hotuba ile na maelekezo Yale nilitegemea ndani ya wiki tu Vishikwambi...
Na Mwandishi wetu,
Arusha.
Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki Mhe James Millya pamoja na genge lake anapanga mipango ya kuvuruga uchaguzi wa CCM mkoa wa Arusha kama mgombea wake anayegombea UNEC...
Wilaya ya Mwanga imekamilisha ujenzi wa madarasa mapya kwa kutumia pesa za Uviko19, jambo moja ambalo si sahihi ni hayo madarasa kuwekwa viyoyozi, bila kuzungurusha ulimi Mwanga na Tanzania bado...
Watanzania lazima tujiulize hili swali
Ni kwanini C.C.M bado ipo madarakani mpaka leo?
C.CM kwa miaka 60 wameshindwa kusambaza maji ya kunywa na umeme wa uhakika kwa wananchi kwanini tunawalea...
Salam wakuu,
Sina kinyongo na watoto wa wakubwa kujazana kwenye chama na serikali.
Rai yangu moja,Mama ni vyema baadhi ya wanafamilia wake akawaweka nje ya chama na serikali.
Mfano kuna mmoja...
Huu ulikuwa ule ule unyama wa awamu ya 5 wa kuhakikisha viongozi wote wa Chadema wanafungwa jela .
Katala Kikaja na Lilanja Ng'hulima ambao ni viongozi wa Chadema huko Simiyu , Walikamatwa...