Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nadhani ni kwenye awamu ya nne ya JK, mitambo ya kuzalisha MW 80 ilisimikwa huko Nyakato Mwanza ya kutumia mafuta ya dizeli kwa gharama ya mabilioni mengi ya pesa. Mahitaji ya umeme ya jiji la...
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Hata mimi niliamini bila Seleman Methew hakuna Chadema kusini kumbe nilikosea sana Bado nafuatilia ziara ya Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika halafu nitafanya tathmini Ila kitendo cha...
10 Reactions
51 Replies
4K Views
Naona Mbowe asali aliyopewa ilikuwa ya kuonjeshwa haijamtidhisha ameanza chokochoko za Kizee ili apewe asali nyingine tena lkn mimi namshauri Samia aendelee kumpa asali ya kuonja ili awe mvumilivu...
1 Reactions
0 Replies
522 Views
Ukisikiliza hoja hapa unaweza ukachoka mwenyewe Yaan hoja hapa ni "wastani" na uhalali wale wa kutumika kwenye data zote (generalisation) Maana yake uchukue wastani wa JUMLA iliyogawanya kwa...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Bongo ni kama tunataka kuingia kwemye vitabu vya Guiness kwa kulalamika, ila tunasahau kwamba malalamilo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Ni Barabarani pekee kunako weza kuleta heshima kati ya...
0 Reactions
3 Replies
506 Views
Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?! Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye...
23 Reactions
194 Replies
11K Views
Ukifika TRA unakuta na mizigo mingi sana kwa mfano TRA pale Longroom pamekua kama godwn la kuhifadhia mizigo,ukiangalia pale Kuna mizigo ya Congo,Rwanda,Burundi,Zimbabwe,Malawi,Zambia...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Mungu wa mbinguni mbariki sana Rais mstaafu Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi Kama siyo yeye Leo Dar es salaam ingekuwaje!!
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Wilaya Uyui ina maaajabu yake ambayo nahisi sijawahi ya kuyaona katika wilaya nyingine. 1. Kuna ufisadi wa kutisha katika majengo yaliyojengwa (jengo la mkurugenzi jipya) Yaani jengo la...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nauliza tu kwa sababu Mawaziri wa awamu ya 5 walikuwa wanasema usiku hawalali kwa sababu Shujaa anaweza kupiga Simu Hata Saa 9 usiku wa manane Ndio nauliza ni Kweli Shujaa alikuwa halali...
13 Reactions
97 Replies
5K Views
Ndugu habari zenu, Unajua sometimes unawaza jinsi nchi yetu ilivyobarikiwa kuwa na bahari, maziwa, mabwawa na mito lakini suala la umeme na maji bado ni shida. Tuna viongozi ambao hawana uchungu...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama kinachoshika dola na kinaundwa kuanzia ngazi ya Shina, Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa hadi Taifa lakini jambo la kusikitisha sana licha ya Wanachama wake wawili...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba na Waziri wa Nishati Januari Makamba wamepoteza sifa za kuendelea kubaki kwenye madaraka yao kwa kitumia vibaya nafasi zao za uwaziri kumdanganya Rais wetu Mama...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Kukosekana kwa maji kunasababisha mlipuko wa magonjwa ya kipindupindu typhoid na magonjwa ya kuhara tumbo maana maji machafu husababisha magonjwa ya kuambukiza na magonjwa haya huua watu wengi...
3 Reactions
22 Replies
990 Views
Naweza sema ni mzee Ruksa, Mkapa na mama Samia ndio waliokota dodo chini ya mnazi, Nyerere, Kikwete na Magufuli waliutafuta urais kwa mbinu zote chafu na safi. Leo tumuangalia Rais Magufuli...
21 Reactions
54 Replies
4K Views
Nchi ipo ICU kwa sababu ya makusudi ya utawala wake. Huku maji huku umeme hakuna kwa sababu ya yeye kataka iwe hivyo! Nchi hii ina wanyama na mifugo zaidi ya million 50 lakini sijasikia mnyama...
21 Reactions
76 Replies
5K Views
Tufikie hatua tuseme ukweli. CCM ndo chama pekee kimebaki ambacho kina mfumo unaoeleweka. Hivi vingine ni vya wapiga deal tu na ndo maana hawaaminiani hata wenyewe kwa wenyewe. Angalia Chadema na...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Waandishi Wetu Toleo la 246 4 Jul 2012 Akiba ya dhahabu BoT yadhamini mkopo KITABU kinachozungumzia kashfa ya kihistoria ya ununuzi wa rada, uliowahusisha aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa...
10 Reactions
33 Replies
6K Views
Hawa watu wakati wa JK. Tulisikia kila aina ya matusi bahati baba wawatu alikuwa mpole sana, hata wakitukana anawaita ikulu wanakunywa chai wanaondoka.w Wlikuwa wanaitisha maandamano...
0 Reactions
4 Replies
623 Views
Back
Top Bottom