Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke...
85 Reactions
1K Replies
195K Views
Katiba mpya ijadiliwe na watu wenye elimu kubwa na wazalendo kwelikweli wasiotanguliza mihemko ya kisiasa, tusifanye mchezo kama ule wa kwenye bunge la katiba lililopita. Elimu ndogo za wajumbe...
2 Reactions
27 Replies
403 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi...
2 Reactions
71 Replies
1K Views
Baada ya kipindi kirefu cha CHADEMA kufungiwa kufanya shughuli za kisiasa, hatimaye leo umefanyika mkutano mkubwa jijini Arusha ukiongozwa na Lema na Boniface Jaco Nyomi ya watu ilikuwa si ya...
2 Reactions
2 Replies
216 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Pwani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Boniface Jacob, akizungumza katika mkutano wa hadhara Viwanja vya Soko Kuu jijini Arusha...
3 Reactions
6 Replies
242 Views
Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haikutungwa na wananchi. Ilitungwa na kamati maalumu ya wanaCCM hawakuzidi hata watu ishirini. Ndio maana inawafanya CCM kudhurumu...
2 Reactions
4 Replies
212 Views
Mbunge wa Viti Maalum (Vijana) Mhe Zainab Abdallah wakati akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu alitumia lugha ambayo liwaacha Wabunge njia panda na kuomba muongozo ili aeleza maana ya...
0 Reactions
15 Replies
520 Views
Nimeona wanataka aonekane ni rais wa watu na kiongozi mwenye huruma. Lakini kila kona Watanzania wanasema ni maigizo ten ya kitoto. Mfano rais Kumuwekea mfungwa sikio ili anog'onezwe. Kupiga...
10 Reactions
14 Replies
332 Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Vijana wa Tanzania kutokubali kutiwa maneno na kushawishiwa ili waharibu amani akiwasihi wailinde amani ya Taifa kwa kulindana wenyewe na...
1 Reactions
12 Replies
273 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anatarajiwa Kutua kwa kishindo kikuu Mkoani Songwe Hapo kesho ...
1 Reactions
33 Replies
539 Views
Wanabodi, Hii ni Makala ya Nipashe ya Leo. Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana...
8 Reactions
105 Replies
12K Views
HUYU MAMA(RAIS SAMIA)NI MTU HATARI SANA! George Michael Uledi. May 6,2026.12:10AM. (ON EMBARGO) Mara nyingi nyota ya mtu inabeba tabia zake za ndani za "kiungu" ambazo umtofautisha na...
2 Reactions
12 Replies
269 Views
Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi tuu humu jukwaani kuwa karma ndio the power pekee ambayo hutoa hukumu ya haki hapa duniani, kwenye...
35 Reactions
228 Replies
21K Views
"Mimi ni mkulima wa zao la pamba kwa muda mrefu, nikianza na kilimo cha hekari mbili hadi tatu. Naishukuru sana serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kutupa kipaumbele sisi wakulima wa pamba...
1 Reactions
5 Replies
156 Views
Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili iliyopita. Naendelea na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo ikiwa ni makala ya Tribute to certain Silent Heroes and Heroines, na kuipongeza “Idara” kwa...
47 Reactions
105 Replies
10K Views
Nchi wanachama wote wameshakubali refinery ya mafuta kutoka Uganda iijengwe Tanga. Cha ajabu Tanzania hadii sasa bado wanashauriana ijengwe Tanga au Dubai. Rais ya wa Kenya Ruto amesema kwamba...
6 Reactions
50 Replies
1K Views
Msikilize, anaonekana ana hasira kubwa eti wanamtukana while wanamwambia ukweli. Kwa hasira hizi lazima awateke na kuwaua
10 Reactions
22 Replies
581 Views
Katibu Mkuu wa CHAUMMA Salum Mwalimu akizungumza leo amesema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapaswa kutoa ufafanuzi zaidi kuhusu sababu zinazochangia vitendo hivyo vya utekaji ikiwa ni pamoja...
1 Reactions
4 Replies
264 Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtaka Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za...
1 Reactions
2 Replies
153 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…