baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,862
- 18,457
Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko uraiani?.
Tuseme Mwaipopo ni mwana CCM ni kada wa chama Je chama cha CCM tunaruhusu aya mambo vipi kuhusu maadili ya chama cha mapinduzi yanasemaje ?
Tuache hizi double standards hizi ndo zinaleta mpasuko kwenye taifa kila mtu hawe anabeba msalaba wake ni mda wa Mwaipopo kubeba msalaba wake tofauti na hapo kuna mtu kamtuma kutamka ayo maneno.
Je, huyo aliyemtuma yuko juu ya sheria? Hizi ndo double standards ambazo bado kama wana CCM tunashindwa kuwadhibiti hawa wahuni wachache wanaharibu Image ya chama na Serikali tunaelekea wapi kama nchi wahuni wachache wanatushinda nguvu?
Pia soma Askofu Mwamakula: Unajua sababu za Sheikh Mwaipopo kutaka 'Kuwatahiri watu bila ganzi'?