Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameiomba Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma iamuru apelekwe Dodoma kwa ajili ya kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa...
Wote wenye akili tunajua kwamba tume ya Samia iliyokuwa chini ya uenyekiti wa jaji mkuu wa zamani [sielewi hata huo ujaji mkuu aliupataje], ilikuwa si tume bali ni geresha tu.
Ila, hebu...
Wakazi wa Kimanga, Dar es Salaam, wataanza kukumbana na adha ya usafiri kuanzia kesho baada ya wamiliki wa daladala zinazotoa huduma katika barabara hiyo kutishia kuanza kugoma.
Hatua hiyo...
Za ndaani Kabisa na kutoka kwenye Chanzo sahihi ! Katibu Mkuu wa Chama Fulani ambacho kinatumia mabavu kuwa madarakani amezinguana na Boss wake na akaambiwa kuwa ajitafakari Ila kagoma kulingana...
"Busara” za mchungaji Msigwa. Ziite utakavyo lkn kuna sense aliloliandika.
Ameandika Mch. Peter Msigwa
Historia inaonyesha:
mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani vikali uamuzi wa utawala haramu wa Samia Suluhu Hassan wa kuzuia ujumbe rasmi wa Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya kutembelea...
Burj Khalifa Builder On Why He Prefers Hiring Indians: "They Answer The Phone Even At 1 am"He noted that many Indian employees remain accessible even at unconventional hours, reflecting a deep...
Hii ikimaanisha,
kamwe haiwezekani CCM kushindwa uchaguzi wowote itakaoshiriki hasa kwenye nafasi za kitaifa, na wala kamwe haiwezekani uongozi wake kupinduliwa na vibaraka wa ndani au nje ya CCM...
Nimeona taarifa kuwa Kituo cha PPP-CENTRE kimesema zaidi ya mabasi 150 ya kampuni ya Mofat yameegeshwa kwa zaidi ya miezi sita kutokana na ukosefu wa maeneo ya kutoa huduma, huku mabasi 50 pekee...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ndio Tumaini la Wanyonge ,ndiye Kimbilio la waliokata Tamaa ,ndio nuru ya Wanyonge,ndiye kiongozi aliyebeba Matumaini ya watu na ndiye Moyo Wa Taifa hili.
Kila...
Kichekesho cha Mama Samia kusema eti demokrasia yetu sio kama yao inabidi ifuate utamaduni!
Swali ni kwamba utamaduni upi? Utekaji, rushwa, demokrasia, wizi wa kura, undugu kazini ndiyo utamaduni...
Kila mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi, hawezi kuacha kukiri kuwa tangu taifa hili liwepo, hakujawahi kutokea mtu mwenye msimamo ulionyoka wa kutetea haki, zaidi ya TUNDU ANTIPASI LISU.
Mtu...
Amani ni agenda muhimu kwa kila Mtanzania, hususan vijana wenye ndoto za mafanikio. Bila amani, haiwezekani kufikia maendeleo ya kweli, iwe ni binafsi au ya taifa. Vijana hawawezi kutumia...
Huo ndio ukweli wenyewe. Hapo Mwanza zilitembe risasi mithiri ya watu wapo Vietnam.
Ghana, kilimahewa, Ilemela na maeneo yote ya Mwanza yalichafuka. Mijegejo ilimiminwa kama vile watu wapo...
Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump.
Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana...
Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya Kesho ni Siku Ambayo Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakwenda kuzungumza na Taifa na Dunia...
Uchaguzi wa mwaka jana ulileta kilio Cha kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.
Hawa wanawake na wengine walijua watapewa ubunge wa mezani na CCM, walihaidiwa viti 20 vya ubunge, basi wakajaa na...