Watakaoiweza CCM ni wale tu,wanaoijua CCM kama nyumba yao.
Wanaoujua ubaya wake na mbinu chafu zake.
Upinzani Makini upo humo humo ndani ya CCM na sio sehemu nyingine.
Kadri watakavyoraruana,ndio...
Nawahikishia wote wanaomtukana Hayati Magufuli waziwazi mambo yao yanaendelea kudoda kila siku. Hakuna mtu aliye mtukana Magufuli waziwazi anaendelea vizuri kwa sasa, wengi wao mambo yanaenda...
RC TABORA AFANYA UKAGUZI WA BARABARA YA KAZILAMBWA- CHAGU KM 36 KWA KIWANGO CHA LAMI
Tabora
08/01/2023
__________________
Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe.Balozi.Dkt.Batilda Burian akiambatana na...
Ukitaka kujua ujangili wa hawa jamaa ulizia askari wa RUAHA NATIONAL PARK.Serikali baada ya kuona hawa majangili wanamaliza malihai kwenye mbunga za Ruaha na hasa tembo,na kwasababu majangili hawa...
Wiki iliyoisha nilifanikiwa kujipenyeza na kuingia kwenye vidhibiti nyeti vilivyokamatwa na Polisi ambavyo kesi zake zinaendelea nikagundua hakuna ulinzi wa aina yoyote na unaweza kutoka na...
Howzit! Sawubona!
Kipindi nakua, kidato cha pili, nakumbuka siku moja tumetoka shule nilikuwa nikimsikiliza rafiki angu wa kishua njiani analalamika kuwa kwao huwa wanabishana kuhusu hospitali...
Hivi tukitumia Balozi zetu kutambua watanzania wenzetu wanaoishi na kufanya kazi zilizo rasmi na zisizo rasmi, tuka tunga sheria, kanuni, n.k, zitakazo wezesha hao ndugu zetu kulipa kodi kama...
~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi.
~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola.
~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde.
Hufai kuwa kiongozi.
1. Maria Sarungi (shangazi)- umezaliwa familia Bora, ulikuwa na kila sifa uteuzi lakini ulikataa na kuamua 2022 ulie na wanaolia. Uliwindwa ukakimbia nchi lakini bado haukusita kupambana Kwa ajili...
Kituo kinachofuata ni NIDA. Mama kashindwa kuelewa inakuaje kuaje Kama Magari kawapa, hela katoa, mashine za kisasa zipo, mishahara inaingia kila mwezi lakini miaka 5 mtu hapati kitambulisho...
Tunaenda kujenga Taifa la namna gani? Yaani Waziri wa Elimu anatoa tamko wanafunzi wasirudishwe nyumbani kwa kukosa ada hata kwa shule binafsi.
Sasa shule binafsi zitakidhi vipi mahitaji yake...
Salaam wana jf.baada ya rais Dr Samia suluhu Hassan kutengua zuio la mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa ,nikama kufunga dirisha lakuingiza hewa Safi ndani ya taifa.
Nimeona watu wakifurahia...
Wananchi wengi bado wako usingizini na ni wazito sana kuwahoji viongozi.
Kama ilivyo vigumu kwa muumini wa dini kumnyooshea kidole kiongozi wake wa kiimani/kiroho anapofanya kinyume na...
Heri ya mwaka mpya wana JF
Kwanza naomba nikiri mimi siyo chawa na siamini kwenye uchawa. Pili mapenzi yangu kwa huyu mama si ya kimahaba au kingono, bali navutiwa na jinsi alivyo nyanyuliwa na...
Waziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge Simbachawene, ni miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya CCM ambaye anaonekana dhahiri kwamba hajaridhishwa na uamuzi wa kuondolewa kwa zuio batili la...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amesema Rais Samia ameweka historia nyingine jimboni kwake kwa kufanikisha kutafuta fedha Bilioni 63 kuanza ujenzi wa...
Huyu "DC" mstaafu wa Iringa mjini, aliundiwa zengwe, wakahakikisha ametumbuliwa.
Na wakafanya sherehe baada ya Kasesera kutumbuliwa. Yeye akaingia mtaani, maisha yakasonga.
Juzi kwenye U-NEC...
Kwa heshima kuu napenda kuwashauri ndugu zetu waliokimbia nchi warejee nchini kwani chini ya uongozi Wa mama Samia nchi ni shwari na salama.
Nakuomba mheshimiwa Tundu Lisu na Godbless Lema...
Mama ameshafanya mabadiliko kwenye kila eneo nyeti na leo amegusa usalama wa taifa.
Tayari alishamaliza IGP, CDF, Spika, Takukuru, n.k bado serikali yake tu ndio hajaunda.
Majaliwa hatoboi 2023...
Sijaelewa ni kitu gani kimewatokea hawa jamaa.
Enzi za Chuma Jpm walikuwa moto sana. Kule youtube alikuwepo Cipyrian Musiba, kule Twitter ndio usisema account kama zote.
Vyama vya idara mbali...