Tarehe 23 wakati wa ufunguzi wa mikutano ya kisiasa pale Mwanza mheshimiwa mwenyekiti alipwaya Sana. Alionesha ni kwa namna gani anashindwa kutumikia mabwana wawili. Uso wake ulionesha anatamani...
Nenda Mkoa wa Geita ukajionee
Utekelezaji wa mradi wa REA awamu ya tatu mzunguko wa pili mkoani Geita umesitishwa bila sababu za msibgi na bila wakandarasi kujulishwa na mikataba tukiwa...
Habar za Asubuh waungwana!
Jana nilikuwa Club House usiku mpaka saa 00:58 huko! Nilikutana na taarifa ya Mwenyekiti wa umoja wa vijana NCCR Mageuzi kupetea katika mazingira yakutatanisha huko...
Prof. Lipumba: Hitimisho, baraza kuu linatoa wito kwa watanzania pamoja na waandishi wa habari kujiunga na chama cha CUF chenye lengo la kujenga nchi yenye haki sawa na furaha kwa wananchi wote...
Siasa za Africa Mashariki ni kama zinafanana sana. Wakati Tundu Lissu anapanga kuanzisha vuguvugu la Katiba Mpya pacha wake wa kisiasa huko Kenya anataka kufanya maandamano ya kupinga ushindi wa...
Habari!
Nimefuatilia habari za mikoa mbalimbali na wilaya zake, watoto wengi ambao wamepangiwa shule za sekondari kuanza kidato cha kwanza hawajaripoti shule mpaka leo. Yawezekana wapo wazazi...
Kuna mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na Viongozi mbalimbali unafanyika Dakar Senegal Kwa Ajili ya masuala ya usalama wa chakula barani Afrika.
====
About 20 African heads of state and private...
Assalamualaikum WanaJf!
Lengo la mada yangu ni kujadili swali kwamba: Inawezekana vipi kupata maridhiano kati ya CCM, chama tawala na CHADEMA, chama kikuu cha upinzani ilhali upande mmoja, CCM...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...
Wananchi wa Iringa Mjini wamemtaka mchungaji Msigwa ahakikishe Makamu mwenyekiti Tundu Lissu anafika Iringa haraka iwezekanavyo kwa mkutano wa hadhara.
Wakizungumza maeneo ya Kitanzini Wanyalu...
Nimestushwa Sana na taarifa iliyotolewa Ikulu, ikionyesha kuwa wakuu wa wilaya 48, wamehamishwa vituo vyao vya kazi.
Hivi Rais anawezaje kuwahamisha wakuu wa wilaya 48, Ili waende kwenye vituo...
Waziri wa Mambo ya Nje, Stergomena Tax amesema Mtanzania aliyefariki Dunia Nchini Urusi, Nemes Tarimo alikuwepo nchini humo kwa ajili ya masomo na alijiunga na Chuo cha Moscow Technology Pro mwaka...
Nimekaa sehemu na watu makini wanabishana Katiba ilivyoathiri maisha yao na mimi nimepata cha kuuliza kwa wakuu humu.
Binafsi nikijipima sioni jinsi ilivyoathili maisha yangu. Ninawajibika kwa...
Ndungu zangu watanzania,
Rais Samia Amewateka watanzania,Amegusa mioyo ya watanzania, Amepanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania,Amewasha furaha katika mioyo ya wote, Watanzania Wana...
Mwaka 2019 ulipoanza ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mwabayanda kata ya Sukuma wilaya ya Maswa ,mkoa wa Simiyu wananchi walifurahi mno na kurukaruka kuwa mwisho wa adha ya kutembea umbali mrefu...
Wanafunzi 1,000 wanufaika na msaada wa vifaa vya shule vyenye thamani ya tsh. milioni 32 kutoka kwa Mariam Ditopile Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Dodoma.
Mbunge viti Maalum Mkoa wa...