Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nashindwa kuelewa kwanini TRA wanashindwa kuiga kwa Ruto wa Kenya na kuongeza mapato kutoka katika wimbi hili la mitume na manabii walioanzisha biashara ya Maji, chumvi, vitambaa nk wakiviita vya...
48 Reactions
273 Replies
14K Views
BOMOA TUTAJENGA KESHO WOTE- Bomoae Bomoae Bomoa mama tutajenga kesho imaa, Tujajenga kesho imaa x2 JENIFA NDESILE-Imaao enyi watoto wazuri wote, njoni tucheze leo bomoa WOTE- Bomoae Bomoae...
2 Reactions
1 Replies
468 Views
Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama. Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa. Kifupi nimeshangaa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni katika pitapita zangu mitaani nimekutana na waalimu wakisema "Hatimaye tumepewa vishikwambi tulivyoahidiwa na serikali". Wanasema bila Sophia Mjema katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
CuF- chama cha wananchi wilaya ya kinondini Mkutano mkuu wa hadhara Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia prof.Lipumba. Usipange kukosa njoo tuisimamishe...
3 Reactions
8 Replies
809 Views
Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea. Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi...
10 Reactions
22 Replies
3K Views
Wasalaam. Baada ya sintofahamu ya baadhi ya Wateule kukataa kuapishwa katika nafasi waliyoteuliwa, kumezuka na maswali na minong'ono mingi isiyo na sababu. Lakini, yote haya yamesababishwa na...
2 Reactions
7 Replies
866 Views
Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo amekunuliwa akionyesha kutoridhishwa na utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Rais Samia ametaka utengenezwe mfumo ambao Mtuhumiwa akitoa Maelezo Polisi basi moja kwa moja DPP awe anayasoma Hii itaondoa kubambikiana Kesi na kulazimishana kuandikisha maelezo kwa virungu na...
18 Reactions
47 Replies
3K Views
Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) ameliomba Bunge kupitisha azimio la kubinafsisha huduma za vivuko nchini. Dkt Ndugulile aliyasema haya leo tarehe 31.01.2022 wakati akichangia...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo Bunge limeanza vikao vyake lakini hapa Jf pako kimya kabisa kana kwamba Wabunge hawa hatukuwatuma Sisi Bungeni Yaani binadamu anaona afadhali ajadili positively ziara ya Tundu Lisu nyumbani...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Rais Samia: Jiji la Dar es Salaam limetangazwa na jarida la African tour magazine kuwa jiji la sita kwa usafi barani Afrika. Na tumetoka mbali, kwa wale wanaoikumbuka Tanzania miaka kidogo ya...
7 Reactions
76 Replies
5K Views
Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa tai ya Bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe sanaa tupu! Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Nimepokea meseji hii kutoka TAMISEMI naomba tujadili hapa serikali inakwama wapi kuhusu hilo suala la watoto kutokwenda shule pamoja na kujengewa madarasa mapya,je imefanya utafiti yakinifu kujua...
2 Reactions
6 Replies
648 Views
Acheni Mungu aitwe Mungu. Kwa hakika Mola akimuinua mja wake, haijali hata wenye pembe wafanye nini. Yale mambo yetu kutokea uwanja wa Bulyaga yanazidi kushika kasi: "Ugumu wa maisha na...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Huu ndio ujumbe wangu wa Jumapili kwa vijana wa Tanzania waliopewa nafasi za kuwa viongozi, Tafadhalini sana, tafadhalini jamani, madaraka ni dhamana ya muda mfupi mno, jitahidini kutenda haki kwa...
31 Reactions
77 Replies
7K Views
Hii nchi ni ngumu sana. Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola. Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Katika mizozo yote, kila siku pana mchokozi na mhanga. Congo imekuwa ikiinyoshea kidole Rwanda siku zote kuwa ndiyo yenye lake jambo kwenye mzozo huu. "Kulikoni kushindwa kumfunga Paka...
10 Reactions
70 Replies
5K Views
Tanzania kama nchi tujiulize ni kwanini suala kubwa na linalohusu wengi kama rushwa liachiwe Rais pekee. Yaani suala la rushwa linabidi liwe la kimfumo na sio la kiongozi mmoja tu wa nchi...
1 Reactions
3 Replies
554 Views
KWA NINI VICTORIA CHARLES MWANZIVA MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA 2022-2027 Kuna mambo Matano Muhimu sana katika Maisha ya kawaida mtu anapotaka kununua kiwanja katika eneo Fulani na kujenga...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…