Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tundu Lissu amehojiwa na Dar 24 na miongoni mwa maswali ni faida ya ujio wa Edward Lowassa iliyosababisha kumpoteza katibu mkuu. Lissu amekiri ilikuwa hasara kubwa kumpoteza mtu 'Calibre' ya Dkt...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu, tunawaomba radhi sana kwa kujaza habari nyingi za Chadema humu, hatuna jinsi maana ndio zinazo trend. Taarifa mpya kutoka Tanga zinaonyesha kwamba Katika kikao cha ndani cha wanachama wa...
16 Reactions
32 Replies
3K Views
Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu...
12 Reactions
22 Replies
1K Views
Kama mada inavyojieleza hapo juu, kila nchi kwa nyakati tofauti hujaaliwa kuwa na mwanasiasa au wanasiasa wenye kujaaliwa vipaji vikubwa vya uongozi kiasi cha kugeuka kua kichocheo na hamasa kubwa...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Yamesemwa mengi, yamependekezwa mengi. Mengine ni halisia, mengine ya kuwapumbaza watu, mengine ya kuwadharau watu kuwa hawana akili. Yafuatayo ni ukweli ambao unatuambia kuwa waovu wote...
24 Reactions
74 Replies
3K Views
Hotuba zake zinafanana na mtu mwenye msongo wa mawazo, ni kama anaona Kuna jitu linamfata, kama vile linamkimbiza, anasikia linapiga hatua nyuma yake, na akiangalia kushoto kulia, hana msaada...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Wananchi Wezangu, Nami leo ninapenda kutowa maoni yangu, ingawaje sidhani kwamba jaji Warioba na kundi lake watayasikia maoni haya. Kwanza ningependa kuyapa uzito maoni yangu kwa kuweka hii map...
5 Reactions
70 Replies
9K Views
RITA na NIDA wapo mbioni kufumuliwa na kusukwa upya kuendana na Kasi ya awamu ya sita. Maeneo yanayotegemea kuwekewa mkazo nikudhibiti Watanzania na wageni waliozaliwa nje ya nchi kutokupata...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Februari 9, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 8 Mbunge wa Nyasa, Mhandisi, Stellah Manyanya amebainisha kuwa Hospitali ya Kanda ya Kusini iliyopo Mkoani Mtwara...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuthibitisha hili unaweza kufanya utafiti wako mdogo tu. CHADEMA ili wapate attention ni lazima walitaje jina la Magufuli. CCM nao ili waonekane wanafanya kazi ni lazima waitaje miradi mikubwa...
0 Reactions
6 Replies
489 Views
Wale wabunge wazoefu wa ccm wamekaa kimya, Tatizo wale wabunge wa ccm waliobebwa na kuja na upepo wa kisurisuri pamoja na mbeleko ya Mwenyekiti hali zao sio shwari majimboni. Wengi waliobebwa...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Nakumbuka siku ya uhuru Rais Samia Suluhu alituhakikishia watanzania kwamba sisi ni taifa huru na watanzania lazima tuwe huru tunaona anaendelea kuishi maneno yake kwa kuweka uhuru wa vyombo vya...
1 Reactions
5 Replies
763 Views
Wiki hii tumeshudia bungeni wabunge na mawaziri wakiringishiana viwango vya elimu wengine wakitamba na PHD zao kwamba ni za darasani sio za kupewa na wengine wakiambiwa hawana elimu ni waganga wa...
0 Reactions
7 Replies
911 Views
Kuna maeneo mengi tu ya kumuhoji Tundu Lissu ili kupata uelewa zaidi badala ya kumbeza. Tundu Lissu hawezi kuwa adui wa CCM kwani adui wa CCM yuko ndani ya CCM yenyewe. Kumshambulia yeye binafsi...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi wa D-tree unaotekeleza mradi wa Jamii ni Afya Zanzibar Kwa juhudi zao za kuisaidia jamii kwenye...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Chawa wa mama ni Watanzania wenzetu waliojitolea kuanzisha taasisi ya kumpigania Mh. Rais Samia Suluhu Hassan dhidi ya wale wanao msema vibaya. Hawa huwaambia kitu kuhusu mama yao yaani kazi yao...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Heche alia bomoabomoa Mbunge wa zamani wa Tarime vijijini, John Heche amemwomba Waziri wa Madini, Dk Dotto Biteko, kuingilia kati bomoabomoa ya nyumba za wakazi wa kijiji cha Komarera Wilaya ya...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima? Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie...
14 Reactions
60 Replies
4K Views
Mwanahabari Luqman Maloto, amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP Mahakama Kuu, Dar es Salaam, akiiomba itamke ofisi hizo zimeshindwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na...
22 Reactions
102 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…