Kanisa Katoliki la Baltimore, Maryland, Marekani (eneo la DMV) siku ya Jumapili, Desemba 14, 2025, limefanya ibada maalum ya kuwaombea mashujaa waliouawa wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29...
Wakuu habari za mda huu.
Kuna kijana mmoja huko TikTok anaitwa Habil & Kabil ukifuatilia video zake na tuhuma anazo toa juu ya Haji Kheir ni nzito sana na za kuogepesha mno.
Pia soma: Haji Omar...
* Mtu mzima unakaa kwenye keyboard siku nzima kuandaa na kusambaza habari eti Fulani na fulani kafa.! Halafu kesho yake wanonekana.
* Mtu mzima unakaa kwenye keyboard siku nzima kuandaa na...
Yaani chama ambacho kiligomea uchaguzi leo hii kinatamka hakimtambui Rais halafu kinajitanabaisha waziwazi kuunga mkono uhaini na jaribio la mapinduzi.
Bado chama hiki kina vigezo vya kuwa chama...
Nakumbusha CCM mlikataa mabadiko ya katiba kwa umoja wenu mkiamini mnawakomoa CHADEMA, sasa msitupigie kelele mna mchango mkubwa kwa yaliyopo sasa
Yaani nyuma ya pazia kelele ni nyingi sana za...
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo, ametembelea mradi wa Umwagiliaji uliopo wilayani Masasi mkoani Mtwara ikiwa moja ya muendelezo wa ziara kwa Taasisi za Wizara ya kilimo ambapo...
Nay wa mitego, Rosa Ree, Wakazi, Sugu na wasanii wengine wanaosapoti upinzani wasapotiwe na makada wenzao ili wazibe pengo lililopo. Hakuna haja ya kuwalaumu wasanii waliokisapoti chama pendwa CCM...
Wanaukumbi.
HAWA NI WENDAWAZIMU KABISA
Yaani tunapokuwa tunasema CHADEMA ni kikundi cha watu wajinga sana muwe mnaelewa..
1. Wanakataa kutambua matoke ya uchaguzi ambao hawakushiriki na...
Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?
Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia...
Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 14, 2025 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amesema lazima umma kujulishwa wahusika na...
Wakrislam tumefikiwa 😂 😂 😂
----------------
"Ni nani amabye hajui kwamba moja wapo ya mikakati ya wanaharakati kwa ajili ya kutekeleza mambo yao ilikuwa kutugawa kupitia dini?. Kutugawa...
Kuna baadhi ya watu hawamtaki Samia ila wanamuunga mkono Nchimbi.
Ila kiuhalisia wote hawafai, Samia akivuliwa urais itabidi aondoke yeye, makamo wake na baraza lote la mawaziri .
Itakuwa sawa...
Guys, Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa tathmini ya uharibifu uliotokea wakati wa Maandamano Desemba 29 na siku zilizofuata alisema kuwa vituo vya mafuta...
Watu wameingia kwenye taharuki kufuatia kinachoitwa D9 ambacho ni maandamano yaliyopangwa kufanyika
usafiri wa umma, vituo vya mafuta, upatikanaji wa Kondomu na vyakula vikavu. CHADEMA ndio...
Kutoka kwa Tundu LISSU...
Akiwa anandika kutoka Gereza la Ukonga Central baada ya takribani siku 240 za mahabusu, anaeleza kuhusu mtikisiko wa kisiasa nchini Tanzania na kiwango kikubwa cha...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025 amehoji mikakati na mbinu za wanaharakati za...
" ukifuatilia sana hili sakata la wasanii na wananchi kwanza huwezi kugombana na mwenye nyumba, wewe msanii ni mpangaji na mwananchi ni mwenye nyumba. Alafu hata sisi watu wazima tunakuambia...
Kichwa cha habari kiko wazi. Inakuwaje watu ambao hawakuchaguliwa, kuteuliwa, au kuwa sehemu ya serikali kikatiba wanatishia Watanzania? Wamelipwa, kujituma, au kutumwa?
Je, nani anawatuma na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.