Wakili wa Tundu Lissu Jebra Kambole kwa niaba ya mawakili wengine wanaomtetea amesema wamekuwa wakipta ugumu wa kuonana na kufanya mazungumzo ya faragha na kushauriiana na mteja wao pindi...
Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu amelalamika kunyimwa haki ya kuabudu kwa takribani siku 68 tangu alipokamatwa na kupelekwa gerezani.
Lissu ametoa...
MBUNGE SUBIRA MGALU APONGEZWA NA UWT WILAYA YA BAGAMOYO KWA UTENDAJI MZURI
Chama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani wamempongeza Mbunge wa Mkoa huo Bi, Subira Mgalu kwa...
“Kwa mfano leo hapa Bariadi kuna miradi sita ya kufungua na yote ni kwa sababu serikali ilikuwa na fedha, tumetawanya fedha za kufanya miradi hiyo. Ni makusanyo ya ndani. Miradi yote tumejenga...
Kwa mujibu wa kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo ACT Wazalendo wamesaini na kuridhia ni kuwa, ukishapiga kura rudi nyumbani kasubiri matokeo, na hata wakala wako haruhusiwi kuingia na simu...
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Ali Kadogo, ameibuka upya katika siasa baada ya awali kutangaza kupumzika. safari hii, ameonekana kwenye kikao maalum cha chama cha CHAUMMA...
" Chini ya awamu ya sita kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania tumefanyiwa Credit rating ( solicited ) kama Taifa.
Hata hivyo Tanzania tumefanya vizuri zaidi kuliko nchi zote za...
"Ukitaka kufanya siasa safi hapa Mkoa wa Mara lazima tuambiane ukweli na kama ni jipu tulitoboe, tulikamue, tutoe kiini na mimi ningekuwa na uwezo ningefuta Kamati ya siasa ya Musoma Mjini...
Wakati akijibu alipoulizwa na mtumiaji mmoja wa X kuhusu operesheni yao ya #lindakura kwamba wanaogopa nani ataiiba alijibu; "CCM na vyombo vya dola! Oktoba"
Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu.
Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa?
Wacha tuone nini kitajiri...
Hawa jamaa hawataki kabisa ushindani na sasa wakihisi unataka kuwatikisa unatafutiwa sababu ya kuwa blocked, sasa wanakublock usiende kanisani, usihutubie watu wako wala usihubili chochote...
Serikali kupitia Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imetoa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia May22,2025 hadi June 21, 2025 kwa Waandishi wa Habari wote wanaofanya kazi za kihabari nchini...
Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya...
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ...
Wadau, mambo yapo moto na sasa Zitto Kabwe , kiongozi mkuu mstaafu ndani ya chama cha ACT Wazalendo atakuwa katika muunganiko na Masheikhe wawili Wazalendo.
Pia soma > Pre GE2025 - Makamu...
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo...
Zitto kabwe kupitia ukurasa wake wa X alipokuwa akimjibu Sativa ameandika kuwa
"Kanuni imehalalisha wizi wa kura? Wizi wa kura ni uhuni. Mtu anayefanya uhuni na hatendi kwa mujibu wa sheria...
Unajua mambo mengine yanafanywa kwa maagizo ya serikali dhidi ya vyama vya upinzani, hususa Chadema, kwa njia ya kitoto sana. Tunajua katika suala la haki za msingi zinapotafutwa mahakamani...
DEBORA TLUWAY ATAJA MAFANIKIO YA "KAMPENI YA SAMIA MTAANI KWETU"
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Eng. Debora Tluway ametaja mafaniko kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.