Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa taarifa kwa umma leo tarehe 21 Mei 2026, kufuatia sintofahamu na taarifa zilizokuwa zinasambaa mitandaoni tangu jana usiku kuhusu...
5 Reactions
23 Replies
714 Views
Mei 20, 2026 kulitokea tukio linalodhaniwa kuwa la utekaji wa David Djumbe ambaye ni msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Hata hivyo, imeelezwa kuwa, Djumbe alifanikiwa kuwatoroka...
11 Reactions
24 Replies
1K Views
Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU. Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA...
7 Reactions
19 Replies
337 Views
Kwa wanaopenda Tanzania tuko katika wakati mgumu sana kama nchi . Washauri wabaya na uvivu na kujiachia kizanzibari sasa Mama ambaye alikuwa maua yenye harufu nzuri 2021-2022 sasa maua yamekufa...
2 Reactions
6 Replies
206 Views
Dictators do not heed to words, They need actions like Maduro dealings!
1 Reactions
0 Replies
80 Views
Kiintelojia, nchi inapitia mdororo mkubwa wa kiuchumi, lakini hawa viongozi wamebaki kuleta mzaha na sarakasi za kisiasa. These f*cking niggas are out here clowning while the trenches are burning...
5 Reactions
6 Replies
169 Views
  • Featured
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu, amesema anategemea kuona Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ikiandikia barua Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuionya au...
16 Reactions
32 Replies
1K Views
Samia ndio Rais Aliyetoa Ajira Nyingi Kwa Wananchi Kuliko Rais mwingine Yeyote Katika Historia ya Tanzania. Yaani Toka 2021 amekuwa anamwaga maelfu ya Ajira Kila mwaka Kwa Vijana kiasi kwamba...
5 Reactions
44 Replies
847 Views
Wakuu, Alichokisema Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Amani Golugwa leo wakati akizungumza kuhusu tukio la jaribio la utekaji la Msaidizi wa Utekaji David Djumbe: "Wakati ninaendelea na mazungumzo...
5 Reactions
26 Replies
870 Views
Kwa wale walioamua kuendelea kunitukana na kusema mimi 'chawa' na kwamba sasa ninarudi kushika jembe au kusota, nina ujumbe wenu pia! Nilizaliwa ktk familia ya mwalimu wa shule ya msingi...
5 Reactions
25 Replies
705 Views
Muswada wa Bunge Marekani umetaja maadui wanne wa Tanganyika watakaowekewa vikwazo na kumulikwa. Uongozi wa Juu wa 1. Serikali 2. CCM 3. Jeshi la Polisi 4. Usalama wa Taifa Na familia zao...
2 Reactions
2 Replies
193 Views
Kazi ya kuanza kuwasafirisha Askari wa Tanzania nje ya nchi itaanza siku si nyingi. Wataenda kusema kila kitu kilichotokea October 29, wapi Watu walifukiwa na vitisho vyote walivyopewa.
4 Reactions
17 Replies
621 Views
Allan Macha (Rafiki wa David Djumbe) aelezea mkasa halisi wa tukio la kutekwa msaidi wa Lissu , David Djumbe.
0 Reactions
0 Replies
124 Views
21 May 2026 Zanzibar, Tanzania Othman Masoud: Tunataka katiba mpya, nchi iendeshwe kistaarabu, sio rais anaamua kila kitu https://m.youtube.com/watch?v=R5biFV6trDs Zaidi ya miezi sita imepita...
2 Reactions
2 Replies
171 Views
Tumeruhusu kutekwa, kisha matamko. Matamko hayajapunguza watu kuuawa. Kama tutaendelea na vimatamko wanachama wetu wote wenye maono watakwisha. Tutaua manabii wetu wote. Viongozi naona mko salama...
4 Reactions
5 Replies
154 Views
Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako. Hakuwa mnafiki kujifanya...
49 Reactions
169 Replies
16K Views
  • Redirect
Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, David Mghanja ‘Djumbe’ ametoka katika Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam baada ya kuhojiwa kwa takribani saa tano kuhusiana na tukio...
0 Reactions
Replies
Views
Na. M. M. Mwanakijiji Kwa wanaokumbuka nilitoa taarifa mwezi wa kumi na mbili mwaka jana hapa kuwa nilipata nafasi ya kufanya "utalii" pale The Hague Uholanzi. Sikuwahi kufikiria naweza kufika...
34 Reactions
53 Replies
2K Views
Wizi wa kijinga wa kura umeharibu mahusiano ya watanzania wenyewe kwa wenyewe , majirani zetu kama Kenya, nchi za south Africa. Lakini imeharibu mahusiano na wadau wanao tusaidia kwenye afya...
4 Reactions
12 Replies
349 Views
Mwananchi huyu anapaza sauti namna Kodi ya mtanzania inatumika katika namna ambayo haitakiwi, kwani yapo mahitaji mengi sana yanayowazunguka watanzania, ila Pesa inatumika kuleta watu maarufu...
2 Reactions
2 Replies
142 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…