Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa kifupi tu..Kupata katiba mpya nchini Tanzania kuna hatua kadhaa ambazo zinapaswa kufuatwa. Hapa ni baadhi ya hatua hizo: 1. Kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya: Hatua ya kwanza ni...
0 Reactions
2 Replies
656 Views
Naamini ujio wa Sungusia TLS utaendeleza harakati na vuguvugu la kuirudisha TLS kuwa chombo cha kitaaluma chenye nguvu na hari ya kusukuma utawala wa sheria. Kitarudi kuwa chombo kinachotazamwa...
0 Reactions
1 Replies
508 Views
Magufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda. Mama...
21 Reactions
121 Replies
6K Views
CHADEMA iko na Mikutano Kahama, Kigoma, Mbeya na sehemu nyingine mbalimbali Nawashauri muahirishe hiyo Mikutano hadi baada ya tarehe 16/5/2023 mzee Membe atakapozikwa Nawasilisha!
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Bernad Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) waliozaliwa katika familia ya Mzee Kamillius Anthony...
38 Reactions
367 Replies
60K Views
Enzi ya Hayati Rais Magufuli TISS( usalama wa taifa) walisimamiwa vizuri na walifanya kazi yao kwelikweli kuzuia hujuma zote kwa taifa hadi nchi ikaingia uchumi wa kati miaka 5 mapema zaidi...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Ukweli usemwe Hayati Magufuli alifanya mengi kwa kadri mwenyezi Mungu alivyomjalia. Vilevile, yapo aliyoweza kuyatatua kwa u haraka na ama yalikoma au yalipunguka kwa kiwango kikubwa. R.I.P JPM.
15 Reactions
39 Replies
2K Views
KWANINI RIDHIWANI NDIYE ANAYEFAA KUWA MBUNGE MPYA CHALINZE. Tarehe 1/1/2014 Taifa letu liliamshwa na kishindo kikubwa cha habari za kuaga dunia kwa aliyekuwa Waziri wa Fedha Dr. Mgimwa na Mbunge...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Naona tribute zimekuwa nyingi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya? Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe. Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki...
6 Reactions
54 Replies
3K Views
Wakuu, Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Rais wetu shujaa John Pombe Magufuli. Hayati JPM ndiye Rais pekee hapa Tanzania aliyetawala kwa kipindi kifupi ( 5 years) lakini alifanya mambo mazito...
47 Reactions
103 Replies
6K Views
Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini, Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni. Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa...
51 Reactions
76 Replies
5K Views
Ni kama vile Katikati ya jamii ya Watanzani kuna kitendawili ambacho bado hakijapatiwa majibu. Kuna swali linalosumbua watanzania wengi kuhusu nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli katika historia...
6 Reactions
78 Replies
4K Views
Kwanza ungana nami kuamini yakuwa Membe mpaka anakufa hakuwai kujitaja hadharani yakuwa yeye ni mtumishi wa idara ya Usalama wa Taifa, wapo walio mtaja alikaa kimya, idara yenyewe ilikaa kimnya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amekutana na kuzungumza na mabalozi wa China, Kenya, Denmark, Italia na Sudan kwa nyakati...
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Nimeona mambo ambayo yameeainishwa kwenye mtaala mpya, lakini sijaona somo la kilimo ambalo lina ajiri 80% ya watanzania. Somo hili la kilimo ambalo lina beba kilimo kwa maana ya mashamba...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji. Dhamira hiyo imeelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na...
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Kuchekelea na kufurahia anapokufa mtu hata kama huyo mtu alikuwa adui yako, bado ni ujinga! Kauli ya wazuri hawafi, ilikuwa ni kauli moja Wapo kutoka kwa mtu mjinga aliyesahau kuwa naye iko siku...
2 Reactions
12 Replies
933 Views
Mbunge wa Masasi aliyewahi kuwa Waziri wa Biashara na Uwekezaji mh Mwambe amesema mifumo ya sasa ya TRA siyo rafiki, imejaa Uonezi na ni Sumbufu. Mwambe amesema hii inatokana na kila mmoja pale...
4 Reactions
5 Replies
860 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…