Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Hii ni makala yangu, katika gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia maisha ya kisasa, na mambo ya kisasa, pesa ndio kila kitu!, siku hizi hakuna cha bure!, kwanini mpaka leo habari ni...
9 Reactions
45 Replies
644 Views
Balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman, amesema pamoja na changamoto zilizojitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, bado Tanzania inaendelea kuwa mshirika muhimu wa Marekani...
3 Reactions
38 Replies
624 Views
Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza Kwa list fupi: 1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni 2. Kusamehe na kusikiliza...
2 Reactions
23 Replies
376 Views
  • Redirect
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ametua ndani ya Ukonga na kushiriki hafla ya kutoa vyeti vya uongozi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mimi Jana nilikuwepo Arusha hakukuwa na watu kabisa kwenye mkutano wa Lema na ukiangalia kwenye social media picha ni tofauti na uhalisia eti chadema mnafanya hivo kwa faida gani? Acheni usela...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu Watanzania, Sisi kama Taifa hakuna kitu ambacho Mmarekani anaweza kutufundisha ama kutuelekeza juu ya demokrasia ama haki za Binadamu. Hakuna anachoweza kutufundisha katika Jambo...
6 Reactions
101 Replies
1K Views
  • Redirect
Pamoja na mapungufu yao ya hapa na pale hiki chama kiko vizuri kwenye ishu za kidijitali. Wanaenda vizuri na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia. Ninawapongeza na kuwasihi waendelee hivyohivyo...
0 Reactions
Replies
Views
: Katika hali isiyotarajiwa, viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaweza kujikuta kwenye wakati mgumu baada ya uwepo wa taarifa zinazodai kuwa wamefunguliwa kesi...
3 Reactions
30 Replies
844 Views
Kuna taarifa kuwa Anna Maulidah Valerian Komu, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya walalamikaji katika shauri la mgawanyo wa rasilimali za CHADEMA, amefariki dunia. Mazishi yatakuwa kesho. Mama huyu...
13 Reactions
95 Replies
2K Views
Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu. Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na...
15 Reactions
21 Replies
517 Views
Naona Didier Drogba ameshajipatia ajira mpya kutoka Tanzania vile atakavyokula kodi za wananchi kwa ulaini kabisa! Ila ajiandae kwa masimango kutoka kwa Watanzania wenye hasira kali na kodi zao...
1 Reactions
6 Replies
332 Views
Rais Samia akiongea katika Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Kenya, tarehe 04 Mei, 2026, JNICC Dar es Salaam, amesema Gen Z wanaojifanya wa East Africa tusiwavumilie kuharibu demokrasia yetu
9 Reactions
163 Replies
4K Views
Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu na freedom of expression iko juu sana, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni wake. Wakenya hasa Gen Z wa Kenya ni next...
22 Reactions
48 Replies
1K Views
My Take Nakubaliana kabisa na huu utafiti na ndio sababu Wanaume Wengi wa Tanzania wameishia kuwa walevi,kulelewa na hao wanawake na kupoteza uelekeo na Heshima ya uanaume. Hongera sana wanawake...
3 Reactions
17 Replies
239 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema wakati maandamano yakiendelea Oktoba 29, Boni Yai pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Amani...
6 Reactions
8 Replies
466 Views
  • Featured
Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari - makao Makuu Dodoma amesema kuna watu wanatumia video za matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Waswahili wana msemo wao kwamba usione vyaelea ujue vimeundwa Ukweli ni kwamba nakereka sana kuona uongozi wa nchi yetu uko bize kupiga picha na Drogba raia wa ivory. Ni lini na sisi...
4 Reactions
6 Replies
199 Views
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
40 Reactions
84 Replies
2K Views
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi...
136 Reactions
2K Replies
220K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…