Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Rais Samia anaendelea na ziara yake katika mikoa ya huko Kanda ya Ziwa. Baada ya jana kutoa spana kwa Mpina, je leo ataruka na nani...
0 Reactions
1 Replies
364 Views
Huku Serikali ikiwa inaendelea na juhudi za kuhakikisha huduma za kijamii zinawafikia wananchi haswa maeneo ya vijijini, kamati mbali mbali ambazo zimeundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
MBUNGE EZRA CHIWELESA AWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI 2020-2025 KWA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA NA KUPOKELEWA KWA VIFIJO NA NDELEMO, BIHARAMULO TUMEPOKEA ZAIDI YA BIL. 98...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ni muhimu kila jimbo kuangalia maendeleo yake na kutathmini kama viongozi wetu wameshiriki kikamilifu kutatua changamoto zinazowakabili wananchi...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Kumekucha wana JF? Haya watetezi wa Rais kazini, huyu Mtangazaji tangu apewe Tuzo kageuka kuwa Chawa naye. Eti Mpina ni mtovu wa nidhamu kumwambia Rais shida alizotumwa na wananchi wake? Jana...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Ameingia bungeni kwa mara ya kwanza 2005 akiwa kijana wa miaka 30.. Amehudumu katika siasa za uwakilishi kwa miaka 20 mfululizo. Mbunge anayetanguliza masilahi mapana ya nchi yake ni mzalendo...
4 Reactions
4 Replies
633 Views
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Shaweji Mkumbura, ametoa wito kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao...
-1 Reactions
3 Replies
432 Views
Rais atafika Mwanza kuzindua daraja la Busisi Kigongo lakini wananchi wanashangazwa pia na dana dana zinazopigwa kukamilisha uwanja wa ndege wa Mwanza na kuufanya wa kimataifa. Ni kweli kwa hili...
0 Reactions
5 Replies
380 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara, John Heche atazungumza na Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Je, KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2025 NI NINI? KATI YA NIDHAMU AU UDHALIMU WA KISHERIA I. DHANA YA MSINGI KANUNI ZINAZOVAA NGOZI YA DEMOKRASIA Kanuni hizi zinasisitiza maadili kama...
1 Reactions
0 Replies
298 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amesema chama hicho kinasimamia amani na kiko tayari kukosolewa ikiwa upizani watasema wanavunja kanuni ya utawala bora. Licha ya...
0 Reactions
6 Replies
499 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Juni 17, 2025 akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yanayofanyika katika viwanja...
0 Reactions
29 Replies
1K Views
Mbunge wa Makete, Festo Sanga akizungumza Bungeni, leo Juni 17, 2025 amesema anajivunia kuona michango ambayo alichangia Bungeni imefanyiwa kazi na Serikali, akitaja baadhi kuwa ni Faini ya...
0 Reactions
3 Replies
439 Views
MNEC Mlao: Umoja wa vijana wa CCM ni tanuru la kuwoka vijana wenye sifa ya kuwa viongozi, twende kuwasemea vijana wenzetu wenye sifa ya kuwa viongozi kwenye vikao vya maamuzi
1 Reactions
1 Replies
287 Views
Wakili wa Kimataifa, "Robert Amsterdam" amerusha mawe mawili gizani kwa kuisakama na kuiponda serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia Suluhu Hassan kwa ukandamizaji wa haki, sheria na uonevu...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
Baada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo...
17 Reactions
95 Replies
8K Views
Mbunge wa Makete, Festo Sanga ambaye amejinasibu kuwa tarejea Bungeni katika Bunge lijalo, amesifia uamuzi wa Serikali kusaini mikataba ambayo itawezesha Serikali kupata madini mengi ya dhahabu...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Kwa kauli za Mwenyekiti ni kama KAWE na KISESA sasa inabid watafute wabunge wapya 2025-2030. Mpira upo kwa Wajumbe sasa
1 Reactions
14 Replies
563 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijaridhishwa na uamuzi uliotolewa na Jaji Hamidu Mwanga wa Mahakama Kuu wa kusitisha shughuli za chama hicho, kikisema kitaomba mapitio ya...
0 Reactions
1 Replies
523 Views
Jeshi la Polisi limezuia kufanyika Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche na waandishi wa habari ulokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo...
6 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom