October 29 haitasahaulika mioyoni mwetu kabisa, natoa wito Gen Z wotee tujiunge ili tujiandae na kujilinda dhidi ya CCM na Jeshi la Polisi pindi watakapo taka kuua tena ndug zetu ili wahalalishe...
Mwerevu anapovuliwa nguo hakimbii hovyo, kupiga kelele, au kugombana na aliyefichua uchi wake huku akiendelea kuonyesha aibu yake kwa watu wengi zaidi;
Mwerevu akivuliwa nguo hachanui miguu yake...
Nchi hì hata kama utakuwa na moyo wa kulipa kodi na mapato kwa hiyari bado utakumbana na changamoto tu za kukufanya uachane na mpango huo, ukitaka kulipia leseni za sanaa na saloon unalazimika...
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM, Wilaya ya Njombe, Hitler Msolla amesema hayo Mei 12, 2026 wakati wa ziara ya kikazi katika Kata ya Mjimwema, alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi...
Mfanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika, Aliko Dangote, ametangaza nia yake ya kuwekeza nchini Kenya kwa kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta (oil refinery) chenye uwezo wa kuchakata...
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amehoji sababu za wazazi wa wabunge kutojumuishwa katika huduma za bima ya afya wanazopata wabunge, huku akielezea changamoto kubwa wanazopata familia...
Watanzania wenye uzalendo wa kweli tunapenda kuona nchi yetu ikiendelea kwa amani mshikamano na heshima kwa viongozi wetu.
Ndiyo maana tunapaswa kukemea kauli za uchochezi matusi na maneno...
Ripoti mpya ya mwaka 2026 kutoka shirika la kimataifa la Reporters Without Borders (RSF) imetoa takwimu za zinazoonyesha kudorora kwa kiwango cha uhuru wa habari nchini Tanzania, huku nchi hiyo...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe, ameeleza mafanikio ya serikali katika kutafuta fursa za ajira kwa vijana wa Kitanzania kwenye mataifa...
Kulingana na huyu kada wa CHADEMA, Dayon Monsoh ambaye ni kuwa mwanaharakati mwenzao aitwaye NURUVAZI anatafuna michango inayochangwa na baadhi ya watanzania wenzetu wasiojitambua.
Kwa sasa kuna...
HUYU AMBAYE ETI KWA SASA ANAJIFANYA KUJUA SHERIA ZA UTETEZI,KUMBE NAYE WAKATI WAKE ALIKUWA MNYAMA KABISA,
KWELI SHETANI AKIZEEKA ANAGEUKA MALAIKA!.....
wakati huo kulikuwa na sheria za kizuizini...
Ndugu zangu Watanzania,
Itoshe kusema ya kuwa usishindane na alipewa Kibali na Mungu , usishindane na Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu , usishindane na aliyebarikiwa na Mungu.
Rais Samia ni...
Haya ni maoni na ushauri wangu wa Bure kwa TRA, naomba niwaahauri waweze kuanzisha program Maalum ya Certified Tax Educator (CTE), hii inatokana na Kwamba kwa sasa Watanzania wengi hawana Elimu ya...
TANZANIA KUKATAA “JOINT VENTURE REFINERY” NA KENYA: UAMUZI WA KIMKAKATI AU KUJILINDA KIUCHUMI?
Katika siasa za kimataifa, hakuna urafiki wa kudumu — kuna maslahi ya kudumu. Ndiyo maana mataifa...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aua ndege wawili kwa jiwe moja.
◇Kazi zake katika utalii zaanza kuneemesha sekta zingine
◇Ndege Ulaya kuleta watalii moja kwa moja kuja Tanzania
◇Matunda, mboga...
Tume ya Uchunguzi ilibaini kuwa ghasia zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zilisababisha hasara kubwa ya kiuchumi. Uharibifu wa mali, biashara na miundombinu ulisababisha...
Akichangia hoja Bungeni leo Mei 12, 2026, Mbunge Jimbo la Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo, ameitaka Wizara ya Afya kuanzisha kitengo maalum cha kutoa elimu ya afya...
Heshima sana wanajamvi.
Nilimsikia Rais wa Kenya Dr W Rutto akihutubia Bunge juu ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta Jiji Tanga.
Wakati huo huo Rais wa Tanzania akihoji kutokuwa na taarifa...
Jamani hii CHADEMA ya Lissu na Heche ina nguvu jamani.
Angalia mikutano inavyofanyiaka kwa umoja na wananchi wanakubali.
My take; CCM ya sasa inaonekana kama mkoloni anayewanyonya Watanzania...
Hii itaongeza utulivu zaidi wa kitaifa na kuepusha usumbufu wa kikatiba kwa Rais mpya atakaeshika hatamu baada ya Dr.Samia kumaliza kipindi cha mpito kusimamia utekelezaji wa matumizi ya katiba...