Kuna kauli za huyu Kijana Makonda akionekana akitamka kwamba kelele nyingi za rushwa zinatokana na njaa kwamba mtu huyo apigae kelele za rushwa akiwekwa jikoni mdomo utajaa mafuta hata piga tena...
WAPONGEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA KUHUSU MABASI KUTOPITA KWENYE MIZANI
Baadhi ya abiria, wadau wa usafirishaji pamoja na madereva wa mabasi hapa nchini wameipongeza Serikali...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kwa bahati mbaya wanaowaponza na kuwarubuni Vijana na...
Mbinu ya CHADEMA YA "Win the crowd, and fate will kneel before you" IPO ASILIMIA 70% KUELEKEA KUIANGUSHA CCM.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Katika Falsafs za siasa. Zipo mbinu nyingi Sana...
Kwa kuwa sijui Kama nimeamka vibaya au vizuri naomba niende moja kwa moja kwenye kilichonituma niulize swali hapo juu.
Kumekuwa utaratibu uliozoeleka hapa bongo unaoitwa Siri za nchi na kwanini...
Toka maza juzi atoe boko mbele ya jukwaa la biashara kwa kuwapiga mikwara vijana kwa atawatandika mikwaju basi ni kelele kote watu walidhani maza angekuwa kinyonge kumbe unyonge sio pigo zake sasa...
CCM haiwezi kulala, Rais wa nchi asingekuwa anakaa kwenye vikao vya kawaida vya shina kusikiliza wanachama. Chama kinatuma ujumbe mkubwa kwa wanaodhani chama kimepoteza mwelekeo.
Wanabodi,
Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM.
Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!.
Wakati Comred Kinana...
Dar es salaam, Zaidi ya mabasi ya Mofat 150 yamekwama kwa zaidi ya nusu mwaka bila kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, jijini Dar es Salaam. Hali hii imeibua mjadala mpana kuhusu ufanisi wa...
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mapema leo Shekhe Said Mwaipopo amewataka wale wanaoshutumu viongozi wa ulinzi na usalama katika utekelezaji wa kazi zao hasa katika kipindi...
Rais Samia akihitimisha Mafunzo ya Uongozi Ngazi ya Juu Kozi Namba 28 na Uongozi Daraja la Pili Kozi Namba 48 kwa Mwaka 2025/2026 katika Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, tarehe 09 Mei...
Ameonekana kwenye Mitandao yake ya kijamii akifurahishwa na alichokiita kufunguliwa kwa Demokrasia, huku akisifu Hoja za CHADEMA na kushangazwa na Mkutano wa chadema kuhudhuriwa na. Watu wote...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Mbeya, ambayo tumeona ni vema kuwashirikisha
Baada ya Bilionea Joseph Mbilinyi kutangaza uzinduzi wa Mikutano ya hadhara ya CHAMA chake Mjini Uyole, baadhi ya wanaccm...
Hatimaye Apostle Boniface Godwin Mwamposa (Bulldozer) uvumilivu imemshinda.
Tundu Lissu yupo Gerezani, Samia kupitia tume alounda Kakiri kaua watu 500 ili awe Rais.
Hata kabla ya kugombania...
Msigwa amejitapa kuwa dunia ya sasa ipo juu kiteknolojia. Ndio maana waliomkamata wametiwa mbaroni na polisi.
Haya sasa hivi ni zaidi ya masaa 24 kwq nini hawajap3lekwa mahakamani kwa mujipu wa...
My Take
Safi sana ni mwendo wa kusogeza Huduma Kwa Wananchi,wanaozubaa wacha wazubae.
Ni aibu Kwa Nchi kama Zanzibar ambayo ni kitovu Cha Utalii Tanzania kushindwa kuwa na hospital Bora za...