Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

..Hadi wakamtuma chawa mbobevu Kitenge kwenda kupiga promo kua South Africa ni salama anaetaka na aje. Sasa nimekaaa hapa na Mwashamu Askofu tunaangalia habari za duniani naona vurugu zimekolea...
2 Reactions
2 Replies
149 Views
Nimeona huko mitandaoni analalamika sana. Waandishi wamekuwa maripota tu. Wamekuwa waoga hawako critical. Wanajipendekeza na wamekuwa machawa. Pascal Mayalla ana hoja ya msingi. Yeye ni shujaa...
3 Reactions
5 Replies
177 Views
Akitoa maoni yake na uchambuzi wa baadhi ya mambo yaliopo kwenye Vyombo vya Habari nchi na uhuru wake Pascal Mayalla amesema Waandishi wa Habari na Vyombo vya Habari hawatimizi wajibu wao...
6 Reactions
10 Replies
432 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kufanya uamuzi mgumu wa kuridhia kung’atuka kwa Katibu Mkuu wake, Dk Asha-Rose Migiro na kupitisha jina la kada mwingine kushika nafasi hiyo, taarifa...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Utatamkaje hadharani habari ya kuchapa viboko hadharani wanaharakati? Hiyo sio suluhu. Harakati dunia ya leo zinafanyika online. Kule Tunisia yalifanyika mapinduzi ya Facebook. Hayati...
7 Reactions
47 Replies
649 Views
07 May 2026 Tafakuri ya Pascal Mayala Kuhusu Uhuru wa Vyombo Vya Habari, Ripoti ya Jaji Chande | Nijuze Podcast https://m.youtube.com/watch?v=uyaX4VGvwDM
2 Reactions
7 Replies
201 Views
Mueleze lolote lililo ndani ya uwezo wake kuisaidia Tanganyika! au Tanzania ukipenda ingawa Zanzibar haina mateso yoyote. Hapo vipi Pascal Mayalla
1 Reactions
3 Replies
151 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Jijini Dodoma Leo...
0 Reactions
5 Replies
270 Views
Tujiulize na kujihoji . Wizara ya habari utamaduni na michezo ina umuhimu gani kupewa bil 562? Kuwapa motisha wakata viuno na content creators? Kama Jiji kama Dar ea salaam kuna shida ya maji...
5 Reactions
20 Replies
490 Views
Namkumbusha Samia Suluhu Hassan Samia uache kiburi na majivuno ya madaraka ubaki kuwa mnyenyekevu kwa wananchi. Samia sikiliza wananchi. Samia , jambo la Oktoba 29 litabaki kuwa kovu na doa...
22 Reactions
27 Replies
750 Views
MPANGO WA KUIMARISHA VYANZO VYA MAJI NCHINI Katika mwaka 2026/2027, Wizara ya Maji imepanga kujenga na kukarabati mabwawa 33, kubuni mabwawa mapya 34, pamoja na kufanya tathmini ya athari za...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Yule shehe aliyesema atawakata watu vichwa hata kuhojiwa hajahojiwa, hiyo ndio maana halisi ya double standard ya jeshi la polisi. Kama Chadema ndio wangekuwa wamesema watamkata mtu kichwa...
2 Reactions
4 Replies
152 Views
Wakati ule Shehe Issa Ponda anapambana ili Waislam wawe na Taasisi huru ya kutetea maslahi yao, Kamishna Kova ndiye aliyekuwa RPC wa Dar es Salaam. Kwa Maelezo ya Shehe Ponda, Kova ndiye RPC...
36 Reactions
126 Replies
6K Views
KIHONGOSI:CCM TUNAAMINI KATIKA MARIDHIANO,TUNATOA RAI KWA MAKUNDI YOTE KUSHIRIKI Katibu wa Idikadi,Uenezi,Siasa na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Kenan Kihongosi amesema Chama hicho...
0 Reactions
3 Replies
206 Views
Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika...
17 Reactions
51 Replies
870 Views
Alianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika...
5 Reactions
85 Replies
2K Views
ONGEZEKO LA BAJETI YA WIZARA YA MAJI Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuipa kipaumbele sekta ya maji kwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Maji kutoka Shilingi bilioni 898.28 mwaka 2025/2026 hadi...
0 Reactions
2 Replies
121 Views
Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na Wanahabari, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mei 6, 2026. https://www.youtube.com/watch?v=1fog9mpal5Q UTANGULIZI Baada ya Tume ya Jaji Mohamed Othman...
4 Reactions
6 Replies
421 Views
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yaomba jumla ya Tsh Trilioni 2,398,290,822,000 kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya wizara kwa mwaka wa fedha 2026/2027 Fungu 46 : Maombi ya Fedha 2026/2027...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Akizungumza Mei 7, 2026 Bungeni jijini Dodoma Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alisema Serikali itaendelea kusimamia sera, sheria na miongozo inayohusu afya na lishe ili kuhakikisha elimu...
1 Reactions
1 Replies
118 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…