Wanabodi,
Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM.
Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!.
Wakati Comred Kinana...
Dar es salaam, Zaidi ya mabasi ya Mofat 150 yamekwama kwa zaidi ya nusu mwaka bila kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, jijini Dar es Salaam. Hali hii imeibua mjadala mpana kuhusu ufanisi wa...
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mapema leo Shekhe Said Mwaipopo amewataka wale wanaoshutumu viongozi wa ulinzi na usalama katika utekelezaji wa kazi zao hasa katika kipindi...
Rais Samia akihitimisha Mafunzo ya Uongozi Ngazi ya Juu Kozi Namba 28 na Uongozi Daraja la Pili Kozi Namba 48 kwa Mwaka 2025/2026 katika Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, tarehe 09 Mei...
Ameonekana kwenye Mitandao yake ya kijamii akifurahishwa na alichokiita kufunguliwa kwa Demokrasia, huku akisifu Hoja za CHADEMA na kushangazwa na Mkutano wa chadema kuhudhuriwa na. Watu wote...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Mbeya, ambayo tumeona ni vema kuwashirikisha
Baada ya Bilionea Joseph Mbilinyi kutangaza uzinduzi wa Mikutano ya hadhara ya CHAMA chake Mjini Uyole, baadhi ya wanaccm...
Hatimaye Apostle Boniface Godwin Mwamposa (Bulldozer) uvumilivu imemshinda.
Tundu Lissu yupo Gerezani, Samia kupitia tume alounda Kakiri kaua watu 500 ili awe Rais.
Hata kabla ya kugombania...
Msigwa amejitapa kuwa dunia ya sasa ipo juu kiteknolojia. Ndio maana waliomkamata wametiwa mbaroni na polisi.
Haya sasa hivi ni zaidi ya masaa 24 kwq nini hawajap3lekwa mahakamani kwa mujipu wa...
My Take
Safi sana ni mwendo wa kusogeza Huduma Kwa Wananchi,wanaozubaa wacha wazubae.
Ni aibu Kwa Nchi kama Zanzibar ambayo ni kitovu Cha Utalii Tanzania kushindwa kuwa na hospital Bora za...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewataka Maafisa Habari, Itifaki, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kufikisha taarifa...
Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia.
Ile stand ilitengenezwa...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amefunguka kuelekea mkutano wa chama cha Chadema amesema kwamba Godbless Lema ni mkuu wa masoko...
Hamjambo!
1. Kuwanyoosha vijana ni jukumu la wazazi, walezi na Mahakama.
2. Msingi Mkuu wa Malezi na kunyoosha Tabia ni kwa Viongozi na wazazi ambao hapa watakuwa role model kwa vijana wao
3...
Taarifa iliyotolewa na viongozi wa Kanda hiyo wametangaza kuzindua mikutano yao tarehe 13/5/2026
Cha kufurahisha ni Kwamba uzinduzi wa Mikutano hiyo utafanyika kwenye uwanja ambao Tundu Lissu...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu, katika gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia maisha ya kisasa, na mambo ya kisasa, pesa ndio kila kitu!, siku hizi hakuna cha bure!, kwanini mpaka leo habari ni...
Balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman, amesema pamoja na changamoto zilizojitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, bado Tanzania inaendelea kuwa mshirika muhimu wa Marekani...
Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza
Kwa list fupi:
1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni
2. Kusamehe na kusikiliza...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ametua ndani ya Ukonga na kushiriki hafla ya kutoa vyeti vya uongozi...
Mimi Jana nilikuwepo Arusha hakukuwa na watu kabisa kwenye mkutano wa Lema na ukiangalia kwenye social media picha ni tofauti na uhalisia eti chadema mnafanya hivo kwa faida gani?
Acheni usela...