Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mfanyabiashara na Mchimbaji mdogo wa Madini na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kuruthum Issa Runje, amechangia kiasi cha Shilingi milioni 4,555,183 kwa ajili ya kukata Bima ya gari chama hicho...
1 Reactions
3 Replies
391 Views
GT Mimi kama mwanajimbo la kisesa nikiongozwa na Mpina nakubali kwamba Samia tunamdai ana mambo mengi sana hajakamillisha na tuna wasiwasi na uwezo wake kama atayatimiza. Hawa wanaosema.hawamdai...
4 Reactions
15 Replies
708 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini na Makamu Mwenyekiti wa chama cha CUF, Maftaha Nachuma amekihama chama hicho na kujiunga na chama cha ACT Wazalendo Kupata matukio na taarifa zote kwa...
1 Reactions
4 Replies
535 Views
Wakuu Kanuni za maadili ya uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani za mwaka 2025 inakataza kubandika mabango, michoro na matangazo kwenye makazi ya nyumba, majengo au vyombo vya usafiri vya watu...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ? Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ? Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani...
32 Reactions
82 Replies
4K Views
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kata za Jimbo la Moshi Mjini wamealikwa na Mbunge wa jimbo hilo Mhe. Priscus Tarimo katika ukumbi wa CCP uliopo Chuo cha Polisi Moshi leo 19.6.2025 kwa...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Mhe, Rais niliojitihada zako za kuratibu na kujenga miradi yote ulionza nayo na Hayati Magufuli, na uliniita ukaniambia tumeachana mzigo huu ni wetu sote pamoja na watanzania, ni lazima...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amesema amesikitishwa na mbunge (hamkumtaja jina) aliyesema anamdai Rais Dk. Samia Suluhu Hassan wakati wenzake hawana deni naye na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
"Ushauri kwa vyama vya upinzani Tanzania ya kuishinda chama tawala CCM, zingatieni haya ndani ya vyama vyenu, Muwe na viongozi wenye dira chanya, Fanyeni tafiti juu ya shida za wananchi na...
1 Reactions
6 Replies
409 Views
Kwa Mujibu wa sheria za Uchaguzi ni kosa kubwa kwa Mgombea kuanza kufanya kampeni kabla ya muda maalum uliopangwa na Tume. Kwa zaidi ya miezi miwili sasa, Bidhaa mbalimbali zenye nembo na chapa...
12 Reactions
51 Replies
3K Views
Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Francis Prosper, amempongeza Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, kwa hatua yake ya kupeleka...
0 Reactions
1 Replies
329 Views
Daktari Meshack Michael Ole Sabaya ambaye ni Mtaalamu wa Afya ametajwa kutia nia ya Ubunge katika Jimbo la Kibamba Jijini Dar es Salaam. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
2 Reactions
6 Replies
906 Views
Katika majukwaa mengi ya kisiasa nchini Tanzania, imekuwa kawaida kwa wabunge na viongozi wengine wa kisiasa kutumia kauli kama “Rais hatukudai, bali tunakupongeza” kila wanapopata nafasi ya...
2 Reactions
2 Replies
405 Views
Kwa Ndugu, Stephen Wasira, na CPA Amos Makala. Kwa heshima na taadhima, naomba kutoa ushauri huu wa bure kwa viongozi wawili muhimu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Stephen Wasira...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Hellow! Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani, Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo...
14 Reactions
56 Replies
3K Views
Sijawahi kuwa natumia rushwa kushinda (uchaguzi). Sitoi rushwa, huwa nawawezesha nawa 'facilitate' kabla ya uchaguzi. Mimi ni Mbunge kuna ahadi nilitoa ahadi ya kuwapa sungusungu pikipiki kila...
1 Reactions
5 Replies
572 Views
Wakuu, Diwani wa Kata ya Msasani, Luca Neghest ambaye pia ni mmiliki wa Bongo 5 amesema, ameandaa safari maalum ya kufanya utalii wa ndani kwa kupanda treni ya SGR kwenda mkoani Morogoro. Diwani...
1 Reactions
19 Replies
633 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), jana Juni 18, 2025 ameshiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Magu Mkoani Mwanza...
2 Reactions
6 Replies
727 Views
Wakuu, Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeanza kufanya ziara zake kwa kutumia ndege ya Helicopter (chopa). Na hivi leo chopa hiyo imetoka kiwanja cha ndege Mwanza kisha kushuka uwanja wa...
8 Reactions
57 Replies
4K Views
Nawasalimu ndugu zangu. Tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu ambao wenyewe utakua unafanyika kwa awamu ya saba (7) tangu chaguzi za vyama vingi zilipoanza. Rais na wabunge wanaotoka mikoa ya kusini...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Back
Top Bottom