Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Hizi hoja za kuwatambua watu kwa misingi ya makabila, kama vile kudai kwamba Waarabu wa Oman wana mapenzi maalum kwa Wasukuma, si jambo la kawaida ni njia ya kujaribu kutafuta sababu ya...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Mbunge wa Viti Maalum, Jacqueline Ngonyani, akichangia katika Mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoendelea jijini Dodoma leo Juni 18, 2025, amesema amekoshwa na majibu...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Kigaila adai Magufuli amekuwa mwaka 2021 tukiwa na miaka 60 ya uhuru ameacha tunadaiwa deni la Taifa Triolioni 59, sawa na wastani kwa Mwaka Trilioni Moja moja. Samia yuko Madarakani mwaka wa...
38 Reactions
105 Replies
5K Views
1. Nape Nnauye - Hajawahi kuwa msaada kwa watu wake wala Taifa letu. Hajawahi kuwa na mchango wa maana toka awe Mbunge. Tunataka watu wapya waje. Apishe. 2. January Makamba - Huyu yeye aliona...
10 Reactions
70 Replies
4K Views
Hivi karibuni, rais Samia alitoa baiskeli kibao. Je hii siyo rushwa? Je hii pesa ndiyo inafanya tukope sana? Je rais kaipata wapi tena kihalali pesa hii? Je ananunua nini zaidi ya kura? Je hapa...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Karibu mabalozi mia sita wa Chama cha Mapinduzi CCM katika manispaa ya kigoma Ujiji wametembelea miradi mikubwa inayotekelezwa na serikali ya awamu ya sita katika mji wa Kigoma ili kujionea...
2 Reactions
13 Replies
777 Views
Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora . Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala...
4 Reactions
14 Replies
627 Views
Kata ya NYAMIGOGO inaziunganisha wilaya ya biharamulo na chato lakini tangu Mungu kuumba dunia ilikuwa haina umeme na wananchi wa hapa walipata shida sana na kuichukia serkali yao kwa kushindwa...
0 Reactions
1 Replies
284 Views
“Hakuna chama chochote nchi hii ikiwamo na CCM kinaweza kuanzisha mkutano ‘Organic’ bila kusomba watu kwenye magari na wakaenda wenyewe kwenye mkutano ni CHADEMA tu” “Watu wengine watatafuta...
15 Reactions
40 Replies
2K Views
Tayari ameshamwandaa Mwenyekiti wa Halmasharu ya Iramba Repeater Mwenzake wa Shule (wote walirudia shule zaidi ya mara tatu) Ndugu Innocent Msengi ambaye pia aliwahi kuitwa Masanganya Zengo au...
2 Reactions
10 Replies
929 Views
Rais Samia amegawa bahasa za fedha kwa wasanii mbalimbali wa muziki nchini, akiwemo Rayvanny, Harmonize na Saida Karoli, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo–Busisi)...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM bara Steven Wasira amesema CCM sio chama cha Polisi bali wao ni cha CCM. “Tunataka watu wengi wapige kura kwa kuwasikiliza wananchi wanasema nini,sio...
0 Reactions
14 Replies
672 Views
Katibu Mkuu wa ACTwazalendo Ado Shaibuado amesema kuwa jumla ya wanachama wapya 2567 wamesajiliwa kwenye mfumo wa kusajili wanachama wa "ACT Kiganjani" tangu Mbunge Mstaafu wa Mtwara Mjini Ndugu...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Constantine Sima ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mhandu amedai kufayiwa hujuma na fitina zinazofanywa na baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM kwa maslai yao...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akizungumza na Clouds TV, Juni 18, 2025, amesema; "Chama cha Mapinduzi CCM hakimzuii mtu kuhoji. Mtu yoyote anaweza kuhoji chochote na hakatazwi...
1 Reactions
11 Replies
766 Views
Mbunge wa Mbagala, Abdallah Chaurembo, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Chamazi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Chaurembo ametoa kauli hiyo leo Juni 19, 2025, wakati...
0 Reactions
4 Replies
867 Views
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amepeleka mitambo maalum kwa ajili ya kuchimba na kufungua barabara zote za mitaa ambazo hazijawahi kupitika kwa urahisi, katika hatua ya kuboresha...
0 Reactions
4 Replies
445 Views
Hamfai na hamna sifa ya kurudi. Hilo mnalithibitisha wenyewe ndani ya bunge. Kila anayezungumza anasifia kila jambo kuwa Rais Samia kafanya yeye sasa nyie mmefanya nini kutumiza wajibu wenu...
3 Reactions
10 Replies
830 Views
Ponda, Ado, Dorothy, Mchinjita wanaunguruma ndani ya Viunga vya Manzese, Juni 18, 2025 https://www.youtube.com/live/hZcBbjT8OhM "Safari hii tutatangazwa watake wasitake! Wabunge wa upinzani...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Nchi yetu ya Tanzania ina maendeleo makubwa sana tangu tulipopata Uhuru na mpaka sasa tumezidi kuvuka hatua. "Uzalendo ambao wamepewa viongozi wetu ni umetukuka na sisi Watanzania tunatakiwa...
0 Reactions
2 Replies
336 Views
Back
Top Bottom