Katibu Mkuu wa ACTwazalendo Ado Shaibuado amesema kuwa jumla ya wanachama wapya 2567 wamesajiliwa kwenye mfumo wa kusajili wanachama wa "ACT Kiganjani" tangu Mbunge Mstaafu wa Mtwara Mjini Ndugu Maftaha Nachuma awasiliane na uongozi wa Chama kwa ajili ya kutangaza kujiunga.
Ado Shaibu ameyasema hayo kwenye kongamano za kumpokea Maftaha Nachuma na wanachama wengine wa CUF lililofanyika jana tarehe 19 Juni 2025 katika Ukumbi wa Pentekoste Mtwara.
Pia soma > Pre GE2025 - Makamu Mwenyekiti wa CUF Maftah Nachuma akihama chama na kujiunga ACT Wazalendo