DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,152
Nchi yetu ya Tanzania ina maendeleo makubwa sana tangu tulipopata Uhuru na mpaka sasa tumezidi kuvuka hatua.
"Uzalendo ambao wamepewa viongozi wetu ni umetukuka na sisi Watanzania tunatakiwa kuendelea kuwaunga mkono na sio kuwabeza, wanajitoa mno.
"Sisi hatuna deni na Rais Samia Suluhu Hassan. Yeye ndiye anatudai na October Tunatiki kwa kumlipa kwa kura za ndio"- Michael Msechu, Muhamasishaji wa Maendeleo Tanzania