Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa wale walioamua kuendelea kunitukana na kusema mimi 'chawa' na kwamba sasa ninarudi kushika jembe au kusota, nina ujumbe wenu pia! Nilizaliwa ktk familia ya mwalimu wa shule ya msingi...
5 Reactions
25 Replies
705 Views
Muswada wa Bunge Marekani umetaja maadui wanne wa Tanganyika watakaowekewa vikwazo na kumulikwa. Uongozi wa Juu wa 1. Serikali 2. CCM 3. Jeshi la Polisi 4. Usalama wa Taifa Na familia zao...
2 Reactions
2 Replies
193 Views
Kazi ya kuanza kuwasafirisha Askari wa Tanzania nje ya nchi itaanza siku si nyingi. Wataenda kusema kila kitu kilichotokea October 29, wapi Watu walifukiwa na vitisho vyote walivyopewa.
4 Reactions
17 Replies
621 Views
Allan Macha (Rafiki wa David Djumbe) aelezea mkasa halisi wa tukio la kutekwa msaidi wa Lissu , David Djumbe.
0 Reactions
0 Replies
124 Views
21 May 2026 Zanzibar, Tanzania Othman Masoud: Tunataka katiba mpya, nchi iendeshwe kistaarabu, sio rais anaamua kila kitu https://m.youtube.com/watch?v=R5biFV6trDs Zaidi ya miezi sita imepita...
2 Reactions
2 Replies
163 Views
Tumeruhusu kutekwa, kisha matamko. Matamko hayajapunguza watu kuuawa. Kama tutaendelea na vimatamko wanachama wetu wote wenye maono watakwisha. Tutaua manabii wetu wote. Viongozi naona mko salama...
4 Reactions
5 Replies
153 Views
Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako. Hakuwa mnafiki kujifanya...
49 Reactions
169 Replies
16K Views
  • Redirect
Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, David Mghanja ‘Djumbe’ ametoka katika Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam baada ya kuhojiwa kwa takribani saa tano kuhusiana na tukio...
0 Reactions
Replies
Views
Na. M. M. Mwanakijiji Kwa wanaokumbuka nilitoa taarifa mwezi wa kumi na mbili mwaka jana hapa kuwa nilipata nafasi ya kufanya "utalii" pale The Hague Uholanzi. Sikuwahi kufikiria naweza kufika...
34 Reactions
53 Replies
2K Views
Wizi wa kijinga wa kura umeharibu mahusiano ya watanzania wenyewe kwa wenyewe , majirani zetu kama Kenya, nchi za south Africa. Lakini imeharibu mahusiano na wadau wanao tusaidia kwenye afya...
4 Reactions
12 Replies
349 Views
Mwananchi huyu anapaza sauti namna Kodi ya mtanzania inatumika katika namna ambayo haitakiwi, kwani yapo mahitaji mengi sana yanayowazunguka watanzania, ila Pesa inatumika kuleta watu maarufu...
2 Reactions
2 Replies
142 Views
Hakuna haja ya kuwa na chombo ambacho ni chanzo cha migogoro kila siku. Rushwa, kuzuia demokrasia, kupendelea CCM na kujipa cheo cha mahakama hakuna sababu ya kuwa na hii idara ya kijinga jinga...
1 Reactions
2 Replies
115 Views
Yaani unaenda kuteka ma houseboy wa viongozi wajinga jinga upinzani kumtisha nani! Usalama badala ya kufanya kazi wanashinda kuvuzia Mpaka ma house boys. Mama ananufaika na nini hasa...
1 Reactions
2 Replies
157 Views
Labda nilipitwa lakini sijawahi kusikia hata siku moja wakichangia bajeti kama msaada kwa tanzagiza, ila nasikia USA au EU wakitishia kukata msaada kusaidia bajeti kwa nini oil rich gulf states...
2 Reactions
32 Replies
466 Views
CCM ati simnajua Mmepoteza Uungwaji MKONO wa Wananchi? Simnajua kabisa Wananchi hawawapendi ?. Simnajua Kuna Mameli yalikamatwa yenye Bendera ya TZ, yakiwa na Madawa ya Kulevya. Simnajua...
7 Reactions
26 Replies
441 Views
Inasemekana zaidi ya makada mia mbili na ushee watahamia Chadema. Wamevutiwa na msimamo imara na madhubuti wa Heche na Lissu. CCM chini ya rais Samia inaendeshwa kwa undugunization na...
6 Reactions
23 Replies
664 Views
Watekaji Polisi watafutaji polisi🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️ Watanzania sio wajinga wakasanganye Machawa
5 Reactions
2 Replies
109 Views
Yu wapi naibu waziri wa michezo, ndugu Mwana Fa kutokuonekana kwenye ziara ya legend wa soka Rio Ferdinand?
2 Reactions
9 Replies
232 Views
Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema. Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha...
2 Reactions
58 Replies
877 Views
Hivi karibuni msajiri wa vyama vya siasa alidai kwamba, watu wanafikiri huwa hawaandikii CCM barua za kujieleza kwa sababu anapowaandikia CCM barua hizo CCM huwa hawazianiki hadharani kama...
0 Reactions
11 Replies
173 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…