Kuna mambo mengine yapo wazi kabisa kwamba taifa linahitaji mabadiliko.
Kuwa na katiba ambayo ilitungwa na makada wa CCM ambao hawakushirikisha wananchi ni aibu kwa taifa kama hili na haifai...
Hizi ni pesa za walipa kodi na ni pesa ambazo zilipaswa kutumika kwa maendeleo ya Watanzania.
Sasa wanaletwa akina Rio Ferdinand, wacheza mieleka wapiga masumbwi na wakata viuno kwa kigezo cha...
Msigwa angeshinda ubunge au kupata cheo kupitia CCM asingehamia Leo chadema.
Tunatamani kuona chadema yenye msimamo inayoheshimika na kuaminika kwa wananchi sio usanii.
Siasa inagusa Maisha ya...
Kuna mwanga mkubwa umeanza kuonekana ndani ya Chadema, ndio maana wenye akili wameanza kurudi na walio ndani ya CCM wanaki-sapoti kwa siri.
Watu wameanza kugundua Chadema ni chama halisi cha...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.
"Tunagombanishwa mno. Watu...
Chadema wawe makinini sana kila wanapoenda kufanya mikutano.
Maana imeonekana wanaCCM wamechanganyikwa na sasa hawapati usingizi.
Ulinzi uimarishwe maana kama wameanza kukata watu mapanga...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa tumaini na nguzo imara ya Taifa letu kupitia sera, falsafa na dira inayoweka mbele maslahi ya Watanzania.
Kwa miaka mingi, CCM imebeba dhamana ya...
Hebu tumalize propaganda na uongo wa Chadema, Hivi chama kilicho moyoni mwa Watanzania 70M ndio hiki chenye wanachama halali LAKI NNE na ELFU TATU NA THEMANINI NA TATU (403,083) kwamjibu wa...
Mzee wangu Peter Msigwa, Wewe una Kura yangu , nihesabu 100% kua Mimi Carlos The Jackal ni Shabiki yako.
Mimi na akili yangu, Huwa simshabikii Mtu ndezi ndezi .
Msigwa una uwezo, sitaki...
Kwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea...
Naishauri serikali kuu na zile za mitaa kutunga sheria kuzuia uchomaji wa taka ngumu mitaani.
Unakuta baadhi ya mitaa kuna mashindano ya kuchoma taka ngumu.
Unakuta taka zina nailoni mbali mbali...
Mara baada ya kutekwa balozi Humphrey Polepole na kuacha damu nyingi sana, mama yake alitembelea nyumba aliyotekwa Polepole na kuahidi kuwa kila aliyeshiriki kwa namna yoyote ile kupanga...
Wakati wa utawala wa awamu ya 5, ulifanyika utafiti wa kitaalam uliozingatia makundi yote, ukiangazia vyama vikuu viwili vya siasa, CCM na CHADEMA. Pamoja na mambo mengine, yafuatayo yalikuwa...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba lile zuio feki la Mahakama la kuzuia Chadema kufanya shughuli za kisiasa limemalizika rasmi.
Mwanzilishi wa Zuio Hilo ni Mzanzibar Said Issah Mohamed...
Ndugu zangu Watanzania,
Mpaka sasa ,mpaka muda huu mpaka wakati huu sielewi ni kwanini na kwa sababu ipi Msajili wa vyama vya siasa hajasitisha na kuilima barua CHADEMA ya Kusitisha mikutano yote...
Miaka 64 iliyopita familia moja ya kitajiri mkoani Kilimanjaro ilipata mtoto wa mwisho wa kiume ikamuita "Freeman" kwa maana ya mtu huru. Jina lake na mazingira yake ya malezi na makuzi ndiyo kitu...
MHE. GHATI CHOMETE AWASILISHA MAONI YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE KUHUSU UTEKELEZAJI 2025/26 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI 2026/27
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania...