Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema...
“Kama CHADEMA isingefungiwa kufanya shughuli zake za kisiasa, huenda matukio ya tarehe 29 yasingetokea,” ilielezwa katika mjadala wa One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na Wakili...
Dada #cherry_hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya wiki moja sasa. Nyumba yao ilivamiwa na watu waliofunika nyuso zao ambao walivunja geti na kuingia ndani kisha kung'oa CCTV...
Askofu wa Kanisa la Matendo Makuu ya Mungu nchini Tanzania kutoka Ushirika wa Wachungaji wa Kipentekoste, Askofu Pius Ikongo, amesema Kanisa Katoliki nchini Tanzania chini ya Baraza la Maaskofu...
Wanabodi
Kitendo cha Tanzania kuzima internet kwa siku 5 mfululizo toka siku ya uchaguzi mkuu, kimepelekea Tanzania kubalaswa kimataifa, kuwa uzimaji huo wa internet sio tuu ni ukiukwaji wa haki...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa...
Huyu ni mchambuzi kutoka Afrika Kusini aliyekuwepo nchini baada ya “uchaguzi” wa Oktoba 29, 2025.
Kwenye hii video anatoa maoni na uchambuzi wake juu ya kile kilichotokea na kile ambacho anahisi...
https://youtu.be/vnNAjzF05cY?si=5A3MnmDOll83sAOB
Kumekucha..
Hukumu ya kumwaga damu ya raia wasio na hatia zaidi ya 10,000 kwa siku zisizozidi 4 tu (29/10 - 3/11/2025) iliyofanywa na Samia na...
Mwenyekiti wa Wamachinga Mkoa wa Arusha, Amina Njoka, amesema kuwa hawakuhusika na maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, akieleza kuwa kundi hilo linaiheshimu Serikali.
“Mheshimiwa Waziri, sisi...
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amepokea Makamishna wa Tume ya Rais iliyopewa dhamana ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, mwaka jana...
1. Vurugu Kubwa na Mauaji Yasiyo ya Kisheria
Mnamo Oktoba 29-31, baada ya wagombea wa upinzani kuondolewa katika uchaguzi, vurugu za kisiasa ziliibuka katika miji ya Mwanza, Dar es Salaam na...
Leo nimepata wasaa wa kusikiliza kwa makini maojiano na vyombo vya habari aliyoyafanya Dr Kitima na kujiridhisha pasi na shaka Kanisa Takatifu la Mitume Kanisa Katoliki na TEC wana idadi kamili ya...
CHADEMA wamekuwa wajanja, CHADEMA ndo chama pekee kinachozungumza hoja za mwananchi wa kawaida; Haki za binadamu, utawala bora, threats, kupigwa, enforced disapperance- Amesema Wakili Mwabukusi
Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi akizungumza katika mahojiano na Jambo TV leo Januari 9,2026 amesema kuwa Vurugu za Oktoba 29 zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kwa sababu wananchi...
Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema wananchi wamekuwa wakipeleka malalamiko kuwa kuna ndugu zao waliuawa...
Kufuatia matukio mbalimbali yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi na kuibua hali ya sintofahamu kwa umma na jumuiya za kimataifa, Serikali kupitia Rais Samia Suluhu Hassan iliunda Tume kwa ajili...
Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera :Angy:
----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa...
Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anahoji waliotaka matukio ya Oktoba 29 yarushwe na vyombo vya habari walikuwa kina nani na walitaka...
Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.