Mange Kimambi amelaumu CHADEMA kuwa ni waoga na kwa kuwa haihusiki Moja kwa Moja na maandamano ya 7/7 wiki 2 au 3 toka sasa yanayohamasishwa kwa kasi sana kupitia social medias mbalimbali...
Kwa wale wapenda nchi na haki naomba tujadili jinsi ya kufanikisha maandamano ya 7/7. Ishu za kuwaongelea hao viongozi fake ni kupoteza muelekeo kabisa. Na wanataka kututoa katika reli. Tuanze...
Umewahi kujiuliza kwanini miradi mingi mtaani kwetukama barabara, ujenzi wa madarasa, au usambazaji wa umeme na maji inachelewa sana, alafu kiongozi aliyefeli anahamishwa tu kituo cha kazi badala...
Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia...
Kila Chama cha siasa nchini kina mapungufu makubwa sana na mengi . Ntamshangaa Mtanzania anayedhani Chama anachounga mkono hakina mapungufu!
Nakuja Kwa CHADEMA Chama changu amabcho naamini sana...
Akiongea Mkoani Mtwara leo amesema marufuku ya mikutano ya siasa iko pale plae,
amesema kuwa yeye ameanza kupenda siasa toka akiwa darasa la 6 hajawahi kuona wala kusikia Mwenyekiti wa chama cha...
Mikutano ya hadhara ndio kipimo cha kuonesha namna chama kinavyokubakika kwa sera na maono.
Mikutano ya CCM iliyokuwa inaenseshwa na Mwenezi wa CCM Kihongosi ilikuwa inadorola. Hakuwa na hoja za...
Hata kipofu kwa kutumia milango ya fahamu iliyobaki anatambua CCM bila polisi hawawezi kushindana na CHADEMA. Kila mtanzania hata ccm wenyewe wameshatambua kabisa kuwa ccm haina chake tena nchi...
Leo Studio ‘Ukichimama Nchale, Ukikaa Nchale’ Ni Binduki za Kichwa tuuuuu anazimwaga ‘Komando’
Maneno yanasikika kuwa nitakuua mie, nitakuua mie huku akionesha kuelekeza 'binduki' vichwani kwa...
Alikuwa hakosoi Maria spaces na mchangiaji/ speaker mzuri and very critical! Anakaa Kimara Baruti na anatoka Musoma.
Ni siku nyingi sasa haonekani..
Nina wasiwasi kama bado mzima maana alikuwa...
Mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Deus Kibamba, ameonya kuhusu kuongezeka kwa udhibiti wa vyombo vya habari na asasi za kiraia nchini, akisema hatua za kubana uhuru wa kujieleza na kuwazuia watu ni...
Hii ni kauli ya kiungwana iliyotolewa na Mwenyekiti wa zamani wa ccm aliyekuwa pia Rais wa Tanzania , Jakaya Kikwete .
Ilikuwa ni katika vikao vya chama chake , pale alipokuwa anawaelekeza...
Tuwe wakweli kabisa Je Mzazi wako kama akipimwa na Samia Suluhu Hassan kwa mizania
1. Uzalendo
2. Elimu hata kama si degree
3. Maamuzi yenye busara kutoumiza watu
4. Uelewa wa Mambo ya Jamii...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa na mijadala mbalimbali kuhusu uwezekano wa matukio ya vurugu na uvunjifu wa amani yanayoweza kutokea tarehe 7 Julai. Ingawa ni muhimu kutokuwa...
Najua kuna wengi wa machawa wako wanakusifia kwa kila aina ya uzuri, msikivu, mpenda watu, mwenya maono, chaguo la Mungu, kiumbe bora na mengine.
Basi, kuonyesha ukweli wa sifa hizi waonee huruma...
Kwetu ni Kagera Ba mnyongote, kwetu ni Bukoba nataka niwambie hakuna msukuma,mchaga,au kabila lolote linaweza gombea hata UJUMBE wa nyumba kumi akaupata katika mkoa niliozaliwa Mimi
Huu upumbavu...
Kuna taarifa imetoka kuhusu orodha ya mataifa 10 yenye amani zaidi Afrika. Tanzania haimo, je ni sahihi kuwa Tanzania haimo hata kwenye kumi bora yenye amani barani afrika. Toa maoni yako.
Nafasi...
Kwa kauli hizi za kukurupuka na kuamriwa na mtu mmoja au kikundi cha watu wachache pasipo kufuata misingi ya katiba na sheria za nchi, kama lolote halitatokea la kuuondoa utawala huu madarakani...
Wafuasi wa chadema mmeshasahau kuwa mlizungusha mikono nchi nzima lakini Leo hii hamna hata balozi wa nyumba 10, hiyo nafasi msahau hamtakaa mpate mbunge hata mmoja, siasa zenu za machafuko...