Kichwa Cha hii thread ndio Ukweli mchungu
Mbunge anawakilisha Chama Cha Siasa ndio sababu mkataba wa Bunge umefungwa Kwa Rais wa JMT, Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Vyama vya Siasa
Kule...
Wenye akili tulitegemea baada ya Kariakoo nyumbu watafuata mkumbo. Kawaida hakuna mfanyabiashara anapenda kulipa kodi kwa hiyari ni sheria tu inambana. Baada ya serikali kuimarisha mifumo ili...
Namshauri mr president ajifunze mbinu za jpm za kuweka usalama.wa taifa mpaka kwenye dalaldala ukiisema serikali tu unakamatwa na unapotezwa mazima.na waliobaki wanaogopa.
Hata samia ajifunze...
Kama ni uchawa basi mm niko tayari kuwa chawa wake, ni kama Maria Sarungi alivyo chawa wa Tundu Lissu au God bless Lema alivyo chawa kwa Mbowe, mimi ni chawa wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
President Ruto amejaribu Sana kumuiga Shujaa Magufuli lakini ameshindwa kutumika mbinu ya Shujaa katika kuservice Deni la Taifa
Wakati Shujaa Magufuli aliwabana Matajiri na kuwahurumia...
Nakumbuka mtangazaji nguli mh Kitenge wakati anamponda Zuhura na kusema Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya sana alimsifia Mno Msemaji mkuu wa Serikali mh Matinyi
Kitenge alisema Baada ya VoA...
DED BAGAMOYO ALILIA BANDARI
Na: Edgar Nazar, Bagamoyo
MKURUGENZI mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo Bw. Shauri Selenda ametoa kilio kwa Naibu waziri wa uchukuzi kuwa bandari ya...
Nawaza endapo wafanyakazi na wananchi kwa ujumla watajoini mgomo wa wafanyabishara unaoendelea hivi sasa nchini hali itakuwaje!!?
Madai ya wafanyakazi;
1.Kupinga kanuni za kikokotoo cha mafao...
Wakenya walianza kulalamika mda sana kuhusu Zakayo kusafiri sana kutafuta mikopo lakini maisha yao bado ni magumu.
Vijana wako mtaani mambo yao ni magumu ajira hamna, mazingira ya biashara ni...
Katika ukurasa wake wa X (Twitter) Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini amepongeza harakati zinazofanywa na Luhanga mpina katika kupambania maslahi ya nchi. Katika...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri,
Mimi ni katika waumini wa Muungano, na kawaida hua naupigia chapuo kutokana na manufaa yake kwa pande zote mbili.
Lakini hii ya leo imenifanya nishindwe kuvumilia...
Chato ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Rombo na Bomag'ombe.
Kwa nini Makamanda wenzangu mnaichukia Chato?
Hi ni moja ya great and tremendous development tuache chuki bana. CCM wanapiga kazi
👇...
Ni basi tu Wakenya wamepinda kama Wazulu wa South Affruca ila unapo kuja kuangalia kiwango cha Viongozi kuwasikiliza wananchi, basi Kenya kuna unafuu ukilinganisha na Tanzania, shida iko tu...
Nipo napitia pitia vitabu vya biashara naona kama wafanya biashara wa Kariakoo wako against na sheria za Biashara hii ni maajabu kidogo.
Kwa sababu kikawaida kama kodi iko juu anaye takiwa kulia...
Nijuavyo leseni ya kila Biashara ina masharti yake na hakuna sehemu imeachia mwanya wa mgomo
Likitokea Tatizo pande husika zinakaa mezani na keleta suluhu
Kwa kawaida migomo iko sehemu za Kazi...
Bunge limtoa adhabu ya juu kabisa kwa kile kinachoonwa ni dharau ya Mpina kwa Spika wa Bunge. Na kwa kifupi sana, bila kutoa maelezo kamati ya maadili imetamka kwamba Bashe hakusema uongo...
Majengo ya Biashara ubalozini ni aina ya upigaji hakuna kitu hapo, ni watu wanagawana 10% maisha yanaendelea.
Tuulizane Mataifa mengine yanashindwa kujenga majengo ya Vitega uchumi kwenye balozi...
Dr Mathuki toka Kenya amefurushwa EAC kabla ya kipindi chake cha uongozi kukamilika. Sasa EAC Ina Katibu Mkuu mpya Bi Veronica. Nini haswa sababu ya kufurushwa Dr Peter Mathuki (PhD)?
NB...
Tanzania na wananchi wa Tanzania, ni wenye bahati mbaya kabisa katika ulimwengu huu.
Watanzania (Watanganyika na Wazanzibari) wamepitia kwenye mateso ya utumwa wa mwarabu. Wakati huo mwarabu...