johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,612
President Ruto amejaribu Sana kumuiga Shujaa Magufuli lakini ameshindwa kutumika mbinu ya Shujaa katika kuservice Deni la Taifa
Wakati Shujaa Magufuli aliwabana Matajiri na kuwahurumia Wajasiriamali Kwa kuwapa Kitambulisho yeye Ruto anawaogopa Matajiri na kuwabana Jua kali na Mama mboga
RIP Shujaa Magufuli
Mtanikumbuka 😂😂
Wakati Shujaa Magufuli aliwabana Matajiri na kuwahurumia Wajasiriamali Kwa kuwapa Kitambulisho yeye Ruto anawaogopa Matajiri na kuwabana Jua kali na Mama mboga
RIP Shujaa Magufuli
Mtanikumbuka 😂😂