Kamati kuu ya chama cha mapinduzi imemtosa kijana mahili na chipukizi kwenye siasa Bwana Husein Bashe ambaye aligombea kura za maoni ccm kupitia jimbo la nzega na kumbwaga aliyekuwa mbunge wa...
Unaweza sema ni mapinduzi ya kiuchumi ama rekodi za kipekee za Rais Samia.
Kwa kipindi Cha miaka 4 ya mama,Samia ameweza kuongeza Bajeti ya Nchi kutoka Shilingi Trilioni 36 mwaka 2021/2022 Hadi...
Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera kuwapeleka walimu 10 wa shule za msingi na sekondari Dubai kwa watakaofanikisha ufaulu mwakani, imeonekana kuwaamsha walimu kila mmoja akiahidi...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka wananchi wa vijijini waliofikishiwa huduma za mawasiliano kuipa thamani miradi hiyo kwa kuitumia vinginevyo...
Salaam, Shalom!!
I declare interest, Mimi ni mwalimu wa watoto. Sasa Huwa tunakaa tunajiuliza, walimu Hasa tunakosea wapi?
Tuseme kwamba labda Kuna watoto wengine hawapiti mikononi mwetu, hili...
Mara nyingi Watu wanaohamia CCM kutoka Chadema huwaga na mbwembwe sana lakini kwa Mchungaji Msigwa imekuwa tofauti Kabisa
Yuko wapi Pastor?
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa...
Hawa wagombea sijui kama watatoboa! Wanagusa maslahi ya wakubwa wa dunia! Walikuwa wanaongea wenyewe ,kumbe hawajui kuna msikilizaji mwingine! Hatimaya zimevuja! Tumepona??
US presidential...
Walimu wamekua waaminifu Kwa serikali awamu zote,kila mwaka impact yake inaonekana Kwa matokeo mazuri yanayowabeba wanasiasa majukwaani kisiasa hasa Rais na waziri wa elim,Motisha ya kuwapeleka...
Tunaandaana kisaikolojia tu 2025 hautakuwa mwepesi kwa Wagombea Ubunge wa CCM
Nakumbuka kwenye mazishi ya Laigwanani Lowassa CCM iliwakilishwa na Hussein Bashe na Rostam Aziz waliotokea Vatican...
Kenya kwa mfano Chaguzi nyingi za kitaasisi zinasimamiwa na Chama Cha Wanasheria yaani LSK
Fikiria Chaguzi za Ndani za Chadema kwa mfano zinasimamiwa na Viongozi wa Chama, Kura wanahesabu hao hao...
Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA
Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu
hana...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Antipas Lissu akiangalia mgawanyo wa majimbo yenye watu wengi zaidi anagundua kuwa haiwakilishi na idadi inayostahili ya wabunge. Wilaya ya Temeke mkoa wa...
Wana Jf, Ukijiuliza haya maswali utapata picha wa nini kinachotokea na nini kitazidi kutokea kwa upande wa siasa za Tanzania
Ukiangalia makundi matatu kwenye jamii yenye umri wa kupiga kura...
They have the Numbers.....; Ukichukulia generations tofauti na kuziweka katika miaka waliyozaliwa utapata generations zifuatazo
The Greatest Generation – born 1901-1927. ...
The Silent Generation...
Naona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA .
Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri .
Muwe na siku njema
"Uadui wa Uislamu na Chadema unatokea wapi? na watu bila kuangalia na kufikiria chochote wanaipokea propaganda hii. Chadema siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, Chadema ni chama cha kisiasa."...
Maifa yote duniani yanatakiwa kujifunza kutoka nchini kenya. Zile fursa zote pamoja na ukabila, shida kubwa ni ukosefu wa ajira na ufisadi uliokubuhu.
Unapoacha vijana wanamaliza shule hawana...
Ndugu Zangu Namba hazidanganyi, wanachama wameikacha hii channel yao.
Kunahitajika utafitu wa kina kujua kwanjni tunaanbiwa idadi ya wanachama wa ccm na hata wasio wanachama lakini wafuasi ni...
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Akizungumza na...