Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Umasikini sio sifa, umasikini sio jambo la kujivunia. Siku zote tunapaswa kuwaongoza wananchi wetu ili wauchukie umasikini na wapende kuwa na maendeleo. Nimesikitishwa sana na maneno aliyosema...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Mungu atupe nini tena Watanzania, zaidi ya kumuomba katika umoja wetu, airejeshe madarakani tena na tena, Serikali sikivu sana ya CCM? Ndugu Wananchi, Maelezo mafupi sana mnayoyaona katika...
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Mwenezi wa CCM komredi Makalla amesema kitendo cha Wafanyabiashara kuandamana hadi Ofisi za CCM kilikuwa ni Sahihi kwani CCM ndio yenye dhamana ya kuwaletea Maendeleo Wananchi Makalla amesema...
1 Reactions
10 Replies
750 Views
Inasikitisha. Nia ya Dawasa kutoa tangazo la tahadhari ya kukosekana kwa huduma ya maji ni jambo jema. Ila nashangaa hili tangazo kwa kuwa Dar es Salaam miaka yote kuna mgao wa maji na ambao...
2 Reactions
6 Replies
695 Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu asubuhi ya leo tarehe 5 july ameonekana kwenye mitaa ya Aggrey na Congo akikatiza huku akitoa maneno kwamba opereshani rejesha bandari za Tanganyika kutoka...
65 Reactions
216 Replies
17K Views
Anaandika Askofu Bagonza Tulizoea kusema UJINGA NI MZIGO lakini kwa sasa UJINGA NI MTAJI wa makundi mbalimbali: 1. Viongozi wa Dini: Wanahitaji wajinga wengi ili wawauzie wokovu, utajiri hewa...
38 Reactions
85 Replies
8K Views
Kuna mgao wa Maji sugu unaendelea katika Jiji la Dar es Salaam. DAWASA walikuwa wamekata Maji kwa muda wa majuma matatu bila kutoa taarifa. Wananchi walipoanza kuhoji, sasa hivi wamakuja na...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaz, Jerry Silaa amewataka Wasajili wa Hati wa Ofisi za Kamishna wa Ardhi Dar es salaam na Pwani kuacha Urasimu kabla hajaanza kuwachukulia hatua kali za...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Orodha hii ya majina imezingatia zaidi vita dhidi ya Ufisadi na Mafisadi ndani ya Tanzania. Majina haya kwa nyakati tofauti tofauti na maeneo tofauti tofauti yamepambana na rushwa wala rushwa...
22 Reactions
177 Replies
7K Views
Tumesikia wote kuwa mkuu wa Polisi Kenya kaamua kuwajibika kutokana na matendo ya polisi wakati wa maandamano ya GEN.Z na kupisha wengine. Je, wa kwetu yeye anasubiri nini kwa matukio haya yaliyo...
4 Reactions
62 Replies
3K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mwamba wa siasa za kisasa Barani Africa, Freeman Mbowe leo 14/07/2024 amefika Siha Mkoani Kilimanjaro, Katika Mwendelezo wa Chama chake kufundisha wananchi...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Mkoa wenu kabla ya kuitwa Katavi ulikuwa sehemu ya Mkoa wa Rukwa, huko wamekuwepo viongozi wakubwa tu, wakiwemo Mzindakaya na Mizengo Pinda aliyefika juu hadi kuwa Waziri Mkuu, Pinda amekuwa...
29 Reactions
144 Replies
14K Views
Ni muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani. Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko...
11 Reactions
54 Replies
4K Views
Niwaombe sana viongozi na makada wa CCM ngazi za wilaya na kata, msijifichie kwenye mwamvuli wa kufuatilia utekelezaji wa ilani ya chama kwa kunyanyasa wengine. Jueni mipaka yenu makada wenzangu...
0 Reactions
0 Replies
274 Views
Mwenye macho haambiwi tazama kwa mfumo wa uongozi wa taifa letu ambapo rais anakuwa na nguvu nyingi kiwango kinachomfanya hata asie mkubali kujipendekeza kwake ni ngumu sana kwa wapinzani...
0 Reactions
4 Replies
603 Views
Salaam,Shalom!! Ile Hali ya wanasiasa kujifanya viziwi Kwa kutosikiza MAONI ya wananchi ambao ndio hasa boss wao, imesababisha Bunge kutekwa kuchomwa na waandamanaji baada ya Polisi kuzidiwa...
9 Reactions
46 Replies
2K Views
Katika dunia ya leo yenye vitu "sophsticated" viongozi huwa wanajiamini vipi kutembea kwenye magari ya wazi? Mtu mwenye nia mbaya na alietayari kwa lolote, katika mazingira haya anashindwa...
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Rais Samia salaam! Ni furaha kuona umekuja kutembelea mkoa wetu wa Katavi. Furaha imetuelemea tuliposikia kwamba safari yako ni ya kichama zaidi na sio kiserikali ingawa ni vigumu kutofautisha...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini mh Godbless Lema ameonya 2025 hatakubali kuibiwa kura Lema amesema yeye atamuiba mwizi wa kura zake Angalizo limetolewa ukurasani X Nawatakia Dominica Njema 😄
9 Reactions
41 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…