Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi ni muumini wa Demokrasia na soko huru la kisiasa ili kuleta maendeleo na ustawi wa jamii. Hata hivyo nimetafakari kwa kina bila kupata majibu ya moja kwa moja kwa nini viongozi wengi...
4 Reactions
17 Replies
671 Views
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiongozana na Wajumbe wa Sekretarieti amezuru katika kaburi la hayati Benjamin Mkapa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu . "Naomba nikiri kuwa...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Kwa hali ninayo yaona Tanzania!!
3 Reactions
2 Replies
315 Views
Serikali Kiboko ya Wachawi anahamisha masanduku yasiyojulikani kuna nini ndani yake yanapitishwa porini na waumini wake yeye amekaa mahali hapo porini kuzipokea. Kuna nini? Kwa nini mtu huyu bado...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Namuunga mkono mama Samia katika kufungua uchumi na kuingiza mitaji ya kibiashara pzmoja na kuruhusu uwekezaji kutoka nje na ndani ya nchi. Lakini mimi si chawa, na kila hatua mbele lazama iwe na...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Serikali kitanzini na Mwandishi Wetu Tanzania daima VIGOGO kadhaa waliyatumia maadhimisho ya miaka minane tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere jana, kuinyooshea kidole...
2 Reactions
154 Replies
23K Views
Shalom wana Jamii Forum. Sijui ni kuzeeka vibaya au kuchanganyikiwa. Kila nikirejesha kumbukumbu zangu nyuma, sioni au kuona kama kuna mahali katika hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi...
7 Reactions
13 Replies
923 Views
Kimsingi kila mtu hufanya makosa hakuna binadamu mkamilifu. Lakini unapofanya Makosa ambayo wenzio tayari wameyafanya na ungeweza kuyaepuka hapo ndipo tunasema awamu hii imekosa weredi, zaidi sana...
41 Reactions
158 Replies
13K Views
Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe. Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa...
2 Reactions
71 Replies
5K Views
Date::6/2/2010 Mwandishi Maalumu RAIS Jakaya Kikwete, ameagiza hatua za haraka zichukuliwe, kujenga barabara zinazopita juu katika Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza misongamano mikubwa ya...
3 Reactions
265 Replies
30K Views
Nimetembea Tanzania sehemu nyingi kabla ya Magu (RIP) kuwa Rais kulikuwa hakuna barabara za lami, leo hii kila mahali hadi Mitaani lami, lakini wanasema ni Awamu ya 4 ilijenga, kwa nini...
27 Reactions
111 Replies
8K Views
Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri, Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako. Kweli Mungu amekubariki sana katika...
13 Reactions
59 Replies
3K Views
Ni swali hili. Kipindi cha Hayati kulikuwa na Kipindi cha kishindo cha awamu ya tano. Sasa mbona hamkiendelezi kwenye hii awamu ya Sita? Shida nini!?
28 Reactions
75 Replies
6K Views
Tulitegemea amsha amsha tulizozizoea tangu JPM aingie madarakani, tumbua tumbua, vamia vamia maofisi ya wizara na ziara za kushutukiza na kutumbua majipu. Lakini tangu JPM aingie madarakani...
8 Reactions
60 Replies
5K Views
Nchi ya Kenya Kupitia Mgongo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC inafanya juhudi kubwa ya kuishinikiza na kuihujumu Tanzania Kwa kuwarubuninkina Rwanda,Burundi na DRC Ili kufungua njia Mpya ya...
7 Reactions
70 Replies
3K Views
Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Kama kumbukumbu zangu hazijakosea ni mwaka 2004/2005 waziri mwenye mamlaka alibadilisha mtaala ambapo moja ya vitu vya hovyo vitakavyobaki kama simulizi za muda mrefu ni kuunganisha somo la...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri, wakazi wa Kawawa Road na vitongoji vyake tunapitia changamoto kubwa sana ya kupata maji. Pamoja na kuwa tupo chini ya mlima Kilimanjaro ambapo kuna vyanzo vingi vya maji lakini suala la...
0 Reactions
2 Replies
395 Views
Hapo jana akiwa amewasili kutoka Ughaibuni alikokuwa kwenye Mapumziko ya takribani Mwezi Mmoja ameyasema hayo. Mh Tundu Lissu Ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chama cha Denlmokrasia na Maendeleo...
5 Reactions
62 Replies
3K Views
PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
9 Reactions
43 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…