Mheshimiwa rais,
Tayari tuna ndege, treni na mabasi ya mwendokasi. Tayari tuna miundombinu mizuri na adimu katika bara la Africa kama viwanja vya ndege, SGR na BRT.
Lakini bado huduma katika...
Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie nina sema kuwa hakuna haja ya katiba mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitoshereza.
Sasa hivii...
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja
Wagombea halaii...
Hili ndio bandiko lake kutoka Account yake ya X
NGEDERE NA BUNDI WAOKOA MABILLIONI YA PESA UNUNUZI WA TRENI ZA SGR.
NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo...
Ilisemwa mambo ya Samia hayataenda asipokuwa na hao wawili. Ajabu leo hii mambo ya Samia yapo muswano.
Ilisemwa na kudaiwa jamaa hao wasioridhika na kukubaliana na hali halisi eti...
TUNDU LISSU HAFAI KUWA RAISI WA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA LAWYER SOCIETY (TLS)
Chama cha wanasheria Tanzania ni moja ya taasisi zinazojitegemea na zenye katiba zao na miongozo yao ambayo...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameshiriki kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) unaoendelea jijini Dodoma huku akikumbushia namna alivyopigwa risasi...
Bila shaka kichwa cha habari kinajieleza vizuri sana.
Binafsi sina tatizo na falsafa ya uanzishwaji wa mbio za mwenge wa uhuru. Tatizo langu kubwa ni namna wanavyoweza kuathiri afya za...
Pamekuwa na hekaheka ya Wazazi wa Wanafunzi wa Shule za Msingi kuitwa shuleni kupokea zawadi za magodoro madogo ya Watoto
Tunamshukuru Mungu wa mbinguni kwa hilo na tungependa tu kujua zawadi...
Sidhani kama hili halikuwekwa kwenye mkataba, kwamba waliotengeneza treni hiyo wanatakiwa kutoa warrant ya sio chini ya miaka mitatu, na pia, kwa muda walau wa mwaka, washiriki moja kwa moja...
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani anaanza ziara ya kikazi Morogoro. Mkoa uliogubikwa na migogoro ya kila mwaka ya wakulima na wafugaji. Ujio wa kiongozi Mku wa nchi utatoa muarobaini kwa kero hii?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akizindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo tarehe 1 Agosti, 2024...
Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 6,106,516,794.00 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika Kata ya Old Moshi Mashariki katika Jimbo la Moshi vijijini.
Hayo aliyasema Mbunge...
Juzi nikitahadharisha hapa kinacho fanywa na Mama ni kutengengeneza matukio angalau kila wiki na haya natukio yanakuwa sapoted na ma matukio ya Yanga na Simha.
Lile la Nape na Makamba limeisha na...
Kwako Rais wa JMT
Mhe. Samia Suluhu Hassan,
Ninakusalimu kwa jina la JMT,
Kufuatia uzinduzi rasmi wa safari za SGR, Dsm- Dom uliofanya siku ya 01/08/2024 na Taifa kuandika historia ya kipekee...
Historia ya tawala za Kikristo zilizoanguka inajumuisha mabadiliko muhimu katika mifumo ya utawala na jamii ambapo tawala hizi zilikua na kuathiri mikoa mbalimbali. Hapa kuna baadhi ya tawala za...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai ameendelea na Ziara yake mkoani Arusha Kuhamasisha watu kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura na kutembelea...
Hadi sasa Sijaona Salamu za rambirambi kutoka chama chochote cha Siasa nchini kufuatilia Kifo Cha Kiongozi mkuu wa Chama Cha Hamas Ismael Haniyeh
Ndio kusema Hamas hawanaga Chama rafiki hapa...
Sijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee
Ila sasa...
Mambo mawili niliyo amini baada ya taarifa ya utumbuzi wa Nape Nnauye na wengine ni
1. CCM itaendelea kuitawala hii nchi miaka tele ijayo.
2. Yanga itaendelea kutawala soka la hii nchi
Kwanini...