Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu amesema Mawakili wa Tanzania hawawafikii Mawakili wa Kenya kwa hatua 100 Source: Mwanzo TV Plus. Soma zaidi: Uchaguzi wa Rais TLS: Nani kuibuka kidedea Urais TLS...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri. Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo. Kwenye kituo kuna...
21 Reactions
69 Replies
4K Views
Ndugu Rais wa TLS sisi watanzania wapenda haki tunaomba uanze na haya: 1. Shambulio la Tundu Lissu 2. Kupotea kwa Ben Rabiu Saa nanena Azory Gwanda. Ishinikizeni serikali juu ya masaibu...
-1 Reactions
8 Replies
1K Views
Bendera ya taifa la Tanzania inalindwa na katiba imo ndani ya katiba ya Jamuhuri ya Tanzania kwa kutaja rangi ilizonazo na vipimo na uwekaji miraba ya hizo rangi. Ilitokea Zanzibar ambako kwa mara...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Uchaguzi wa TLS umekuwa na mafunzo mengi, baadhi yakiwa wazi. Kwa mfano, juhudi kubwa zilizofanywa kumzuia mmoja wa wagombea wa nafasi hiyo asiwemo kwenye kinyang'anyio. Kampeni zilipoanza...
2 Reactions
0 Replies
542 Views
Kwa Taarifa nilizonazo ni kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anapanga kufafanua na kupangua Upotoshaji wa Mzee Kinana, huu alioutoa leo kwa Waandishi wa Habari. Hatuna haja ya...
14 Reactions
51 Replies
6K Views
Kwako mbunge wa Bumbuli January Makamba, 1. Uliwaahidi kuwatengenezea uwanja pale Toghotwe! Ukaishia kuuchimba uwanja ule bila kuumalizia hilo haliwezi kukuacha salama. Ni bora ungeuacha...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Najiuliza sana maana kila alipo lazima na yeye atakuwepo
7 Reactions
61 Replies
4K Views
Kwema Wakuu! Nafikiri kuna umuhimu wa kubadili sheria na kuweka sheria mpya kuwa Mbunge wa eneo Fulani asiongoze eneo hilo Kwa zaidi ya Miaka Kumi. Awamu Mbili zinatosha Kabisa kuwakilisha...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Tunakumbushana tu Kwamba TLS iliasisiwa na Wakoloni kabla Tanganyika haijawa Huru Ahsanteni Mlale Unono 😀
0 Reactions
10 Replies
581 Views
Kwanza itakua ni wendawazimu mkubwa Kwa WATU tunaowaita Mawakili kua Wala Rushwa na Kupokea Rushwa ili mradi kura wampigie mtu anayetakiwa na Serikali. Pili, Ni Ujinga wa kiwango Cha juu sana...
0 Reactions
4 Replies
932 Views
Wanajamvi, kama sote tujuavyo, nchini kwetu Jana palifanyika uzinduzi rasmi wa reli ya viwango vya kimataifa (SGR) sambamba na mabehewa na train za umeme za kisasa. Mgeni rasmi katika shughuli...
1 Reactions
0 Replies
480 Views
Rais Samia ameandika kupitia X Asante Badru & Mika. Furahia safari yako na mashambani. Nina habari njema kwako. Ujenzi wa sehemu za Isaka-Mwanza & Tabora-Isaka unaendelea, na Mungu akipenda zote...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
MWENGE WA UHURU MUSOMA VIJIJINI: MIRADI YA THAMANI YA TSH 3.5 BILIONI YAKAGULIWA NA KUKUBALIKA Mwenge wa Uhuru ulipokelewa kwa shangwe nyingi mno kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma...
-1 Reactions
6 Replies
529 Views
Tarehe 01 Agosti, 2024 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani amesafiri kwa Treni ya kisasa ya SGR kutoka Darisama kuelekea Dodoma kwenye uzinduzi wa safari kutoka Dar Es...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba wakati dunua inaachana na treni za kizamani,hata sisi kama Taifa katika huu ulimwengu hatuwezi kubaki nyuma ni lazima na sisi tuende sambamba na wenzetu ingawa sisi tunaweza kuwa...
5 Reactions
93 Replies
11K Views
Najaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa. Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja...
13 Reactions
132 Replies
4K Views
Hayati Magufuli aliipiga marufuku biashara ya jongoo wa baharini ambayo kwa kiasi kikubwa inafanywa na raia wa China. Kwa Wachina jongoo bahari ni chakula murua (delicacy), na pia ana matumizi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hebu fikiria kuna wananchi wanafurahia kupandishwa ndege na kwenda kutalii nje ya nchi. Na wengine kupewa ahadi za kuwa viongozi. Wengine kusafirishwa kwa kupanda treni mpya. Naandika haya huku...
8 Reactions
4 Replies
433 Views
..Tundu Lissu amesema Mawakili wana wajibu kutetea nchi na wananchi. ..Mawakili hawapaswi kukaa kimya wakati haki za wananchi zikikanyagwa. ..Msikilize hapa chini akifafanua wajibu wa chama cha...
3 Reactions
13 Replies
730 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…