Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kwenye ushiriki wa Uchaguzi Mkuu 2025, ambamo ndani yake utapata links za matukio...
4 Reactions
17 Replies
18K Views
Wakuu! Mtoto wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Jesca Magufuli anatajwa kuwa ni Miongoni mwa wanaotaka kugombea Ubunge kwenye Jimbo la Chato, Geita.
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Kamanda aliyejinasibu kufanya hivyo si mwingine bali ni Salum Mwalimu katibu mkuu wa chauuma.. Akijisifia kubomoa ngome zote za CHADEMA(hapa alijisahau kidogo) Kwa majigambo mengi kuhusu chopa...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekamilisha rasmi shughuli zake tarehe 27 Juni 2025 kwa Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia. Bunge hilo litavunjwa rasmi Agosti 03, 2025...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Wakuu! Imagine miaka 64 ya Uhuru, bado Khanga na Baiskeli ndio chambo katika Uvuvi wa Kisiasa na kutoa Kura kirahisi tu. Uchaguzi unapokaribia mbinu za kisiasa zinaongezeka, zikiwemo zawadi kwa...
18 Reactions
223 Replies
13K Views
"Niwashukuru waajiri wangu Watanzania, hakika wao ndio hamasa na chachu ya mimi kufanya yote haya".Rais Samia Suluhu Hassan
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, "Tafadhalini sana, tusitumike vibaya, sisi viongozi ukiingia kwenye Chama cha...
0 Reactions
4 Replies
437 Views
"Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kinondoni, Comrade Furaha Dominick amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe. Tukio hili limekuja baada ya Bunge kuvunjwa rasmi na chama...
1 Reactions
1 Replies
502 Views
Aidha Professa ameimiza kila kata kuwe na ilani inayoendana na hali ya kata husika. Pia amesimamia hoja kuu ya kuendelea na uchaguzi ingawa Kuna mchakato unaendelea wa kuwa na Tume huru ya...
0 Reactions
4 Replies
361 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Naghenjwa Kaboyoka amejiunga na chama cha ACT Wazalendo leo Juni 28 Dar es Salaam. Kaboyoka aliyewahi kuwa Mbunge wa Same Mashariki 2015-2020 amepokelewa leo na...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Wakuu, Yaani Lissu pamoja na kukaa gerezani siku zote hizo lakini ana nuru na anazidi kuwapa wanachama anawaongoza matumaini Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lissu anaondolewa kizimbani
25 Reactions
67 Replies
5K Views
Anaitwa Daudi Masasi. Huyu ni mzaliwa wa Iringa pande za Nyanda za Juu Kusini. Mbali na kuzaliwa na kukulia Iringa pia ni mfanyabiashara kwa muda mrefu akiwa pia mdau wa habari. Alianza kuvuma...
2 Reactions
6 Replies
752 Views
Jerry Silaa, amejiunga rasmi katika mchakato wa kuwania ubunge kwa kuchukua fomu ya kugombea Jimbo la Ukonga, jijini Dar es Salaam. Hatua yake ya kuchukua fomu inakuja wakati ambapo Chama Cha...
1 Reactions
0 Replies
451 Views
Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali, kutoa taarifa mapema, ili nafasi zao ziweze kujazwa...
7 Reactions
37 Replies
5K Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa iliyopo katika jimbo hilo na kumaliza kero ya muda mrefu ya wanawake kujifungua kwa msaada wa mwanga wa tochi...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kimesitisha ziara za viongozi wake mbalimbali ili kupisha...
1 Reactions
5 Replies
499 Views
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhutubia na kufunga Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tukio hilo litafanyika leo Juni 27, 2025 bungeni jijini Dodoma ambapo baada ya kufunga...
5 Reactions
64 Replies
7K Views
Wakuu Hapa Mwanza uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA ni fedheha, John Mrema anatia huruma, uwanja ni hauna watu Mrema anajipa moyo akiwa anasubiriwa mzee wa ubwabwa atue na chopa.
15 Reactions
59 Replies
4K Views
Back
Top Bottom