Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekusikia ukinukuu BUSARA za Mwalimu Nyerere, lakini Mwalimu Nyerere busara zilimuongoza mambo mengine kuyazungumza in Camera na si hadharani. Nilitegemea majibu ya busara zaidi kuliko...
12 Reactions
65 Replies
3K Views
Kila tunapokaribia duru za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vuguvugu na joto la siasa linapanda. Kuna suala la wabunge 19 walikuwa CHADEMA na ambao suala lao liko mahakamani. Hawa wabunge...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu salama? Kulikuwa tetesi toka pande mbalimbali kuwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete atagombea nafasi hii ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Ummoja wa Afrika Mashariki, na kulikuwa na kama ka msuguano...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
My Take Chadema wataumia sana Kwa hili. In fact hata Mzumbe wanatakiwa Waite mojawapo ya majengo Yao Jina la Rais Samia kama mwana Alumnai wa Mzumbe. Ni mbumbumbu tuu ndio anaweza kuhoji mchango...
9 Reactions
76 Replies
3K Views
Kiukweli Boniface Mwabukusi amejulikana juzikati tu wakati wa mchakato wa Bandari. Mwabukusi amewahi kugombea Ubunge huko kwa akina Prof Mark kupitia NCCR Mageuzi lakini hakunaga anayejua. Ila...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni ajabu sana nchi yetu inatafunwa kwelikweli..ni mwendo wa Mabilioni kwa Matrilioni, ripoti za CAG zilizopita hatujasikia popote wale waliokutwa na hati chafu au upotevu mkubwa wa fedha...
1 Reactions
2 Replies
366 Views
Kusema ukweli sitegemei Lissu atoe kauli alizozitoa kuwa CHADEMA siyo mama yake, ni kweli wote tunafahamu hivyo lakini angalia historia yako kwenye upinzani, na hadi ulipopigwa risasi. Nadhani...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
BBC Wamekausha kana kwamba hakuna kitu linaendelea wakati Uingereza imekumbwa na maandamano makubwa ya kibaguzi ambayo yameambatana na uharibifu wa Mali. Waziri wao Mkuu amekuwa akijiknyaga...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM Kwa hali ilivyo, Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Kama watanzania tunahitaji Rais , kuacha haya makanjanja na matapeli ya kina Nape, January, Mwigulu na wahuni wengine, ikiwa sio Majaliwa basi Doto Bitteko anafaa sana kuwa RAIS wa JMT miaka...
10 Reactions
84 Replies
5K Views
09 August 2024 UK High Commissioner David Concar reflects on his time in Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=dY_7h6zrCf0 As his tour of service in Tanzania comes to an end, UK High...
0 Reactions
0 Replies
443 Views
Huko nchini Kenya, uteuzi wa mawaziri unachukua mchakato mrefu, Hadi Waziri huyo aapishwe. Hatua anazopitia Waziri huyo baada ya kupendekezwa na Rais kuwa Waziri ni jina lake kupelekwa Bungeni...
3 Reactions
12 Replies
865 Views
Naona Mfumo wa chadema una shida kubwa kubeba watu smart Unahitaji marekebisho Tusibaki tu kulaumu wanachama Kwanini watu wengi smart inakuwa ngumu kukaa chadema Naona Mfumo wa chadema una...
4 Reactions
16 Replies
675 Views
Nimemsikia Lissu akinukuu maneno ya Hayati Mwalimu Nyerere aliposema kuwa CCM siyo Mama yake wakati wowote anaweza kuondoka vile vile Lissu naye kasema kuwa CHADEMA SIYO mama yake. Maneno haya...
1 Reactions
7 Replies
696 Views
Ili kuepusha migomo kujirudia inahitajika elimu kubwa hapo kariakoo, taarifa zifuatazo zitasaidia kutengeneza maudhui ya kozi husika, 1. Majina kamili (kama yanavyoonekana kwenye NIDA), 2.TIN...
0 Reactions
2 Replies
346 Views
Baada ya David Kafulila kusimama na kuanza kumtetea Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ufasaha na weledi unaostahili kwenye mambo mbalimbali, Kitendo hiki kimeibua kundi linalomuunga...
14 Reactions
216 Replies
5K Views
Haraka kwenye mada|| Huenda uchaguzi mkuu wa mwaka 2029|2030 ukawa ndio Uchaguzi mgumu zaidi kuwahi kutokea tangu kuasisiwa na kuanza kwa mfumo huu wa vyama vingi hapa nchi Tanzania. Agenda...
11 Reactions
187 Replies
7K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya...
9 Reactions
54 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan na Boniface Mwamposa ndio Watu wenye mvuto zaidi Ukanda mzima wa maziwa makuu kwani wanakusanya maelefu ya watu kama nzige. Rais Samia kwa umati huu tayari ni mshindi...
5 Reactions
57 Replies
3K Views
Kuelekea chaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 kuna utekaji wa raia wanaounga mkono vyama pinzani wengine wakipotezwa kabisa. Lengo linaweza kuwa kuwatisha raia kujihusisha na...
0 Reactions
3 Replies
453 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…