Sijui kwanini, ila kila nikimtizama Waziri Biteko, ninaona picha ya Urais kwake

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,256
4,099
Kama watanzania tunahitaji Rais , kuacha haya makanjanja na matapeli ya kina Nape, January, Mwigulu na wahuni wengine, ikiwa sio Majaliwa basi Doto Bitteko anafaa sana kuwa RAIS wa JMT miaka ijayo.

Kati ya Majaliwa na Biteko, nitampa Bitteko.

Enzi ya Mwalimu, Rais wa JMT alikuwa anaandaliwa, huyu Biteko anastahili kuandaliwa kuwa Rais ajaye endapo tu tunaitakia mema TZ. Tofauti na hapo mtakuwa na miaka mingine 15 ya kula chumvi.

Biteko ni msomi mzuri sana katika level ya PhD ya darasani na sio ya kutunukiwa.

Pia ni mtaratibu na ni muadilifu, na ni mzawa wa kweli kabisa.

Ukiitazama picha ya Biteko, itizame mara 3 , ni lazima utauona urais usoni mwake.
 
Kama watanzania tunahitaji Rais , kuacha haya makanjanja na matapeli ya kina Nape, January , Mwigulu na wahuni wengine, ikiwa sio Majaliwa basi Doto Bitteko anafaa sana kuwa RAIS wa JMT miaka ijayo.

Kati ya Majaliwa na Biteko… nitampa Bitteko.

Yaani Mrundi tena awe rais ?
 
Biteko ni kishoia hana mbinu za kumuweka pale na bahati mbaya mfumo haumkubali
 
Back
Top Bottom