Naona mfumo wa CHADEMA una udhaifu mkubwa sana kubeba/handle watu smart au wenye uwezo mkubwa

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Dec 13, 2019
1,006
1,171
Naona Mfumo wa chadema una shida kubwa kubeba watu smart

Unahitaji marekebisho

Tusibaki tu kulaumu wanachama
Kwanini watu wengi smart inakuwa ngumu kukaa chadema

Naona Mfumo wa chadema una udhaifu mkubwa kubeba /handle smart People
Jambo jema ambalo Mbowe anaweza kufanya cdm ni kuacha mfumo Bora
Mwl Nyerere alikuja kugundua too late kwamba Mfumo alioucha wa chama kimoja ulikuwa dhaifu na ikamlazimu kupambana kuupanua akiwa nje ya nafasi
Akasahau Mfumo mama katiba ilikuwa dhaifu pia

Hili ni kosa naona chadema wanafanya kutengeneza watu badala ya mifumo imara na itatugharimu baadae Kama Mbowe na uongozi wa cdm ataweza kubadili hilo
 
CHADEMA sio CHAMA ni genge la wahuni

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Naona Mfumo wa chadema una shida kubwa kubeba watu smart

Unahitaji marekebisho

Tusibaki tu kulaumu wanachama
Kwanini watu wengi smart inakuwa ngumu kukaa chadema

Naona Mfumo wa chadema una udhaifu mkubwa kubeba /handle smart People
Jambo jema ambalo Mbowe anaweza kufanya cdm ni kuacha mfumo Bora
Mwl Nyerere alikuja kugundua too late kwamba Mfumo alioucha wa chama kimoja ulikuwa dhaifu na ikamlazimu kupambana kuupanua akiwa nje ya nafasi
Akasahau Mfumo mama katiba ilikuwa dhaifu pia

Hili ni kosa naona chadema wanafanya kutengeneza watu badala ya mifumo imara na itatugharimu baadae Kama Mbowe na uongozi wa cdm ataweza kubadili hilo
Kwahiyo wale waliorubuniwa Chadema wakapewa nafasi za juu serikalini walikuwa magalasa!
 
Mkuu haitakiwi watu kuhama chama? Inawezekana una hoja za msingi, lakini unaposema watu smart nashindwa kuelewa. Angalia hao watu wameondokaje, na kwanini wameondoka, na wameleelekea wapi. Usishangae cdm wakaingia madarakani na wote wakarudi.
 
Back
Top Bottom