Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Msikilize dada wa Polepole
1 Reactions
Replies
Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ametoa jibu kali la kiitikadi dhidi ya vyama vya upinzani vinavyoishutumu serikali kwa kubana demokrasia, akisisitiza kuwa...
0 Reactions
3 Replies
138 Views
Kufuatia pendekezo Mahsusi lililotolewa na Mbunge wa Makete, Festo Sanga kuomba kutungwa kwa sheria ya kufuatilia na kusimamia Fedha au mali ambazo hazikudaiwa, zimetelekezwa au zimesahaulika na...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Kanuni za Nuremberg ni mwongozo wa sheria za kimataifa ulioundwa na Tume ya Sheria ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa (International Law Commission) kubainisha na kuhukumu uhalifu wa kivita na...
6 Reactions
17 Replies
261 Views
Bajeti ya Serikali 2026/2027 yapita kwa kishindo Matokeo ya kura ya bajeti kuu ya serikali: Idadi ya Wabunge waliokuwepo bungeni: 393 Idadi ya Wabunge ambao hawakuwepo bungeni: 8 Kura za...
1 Reactions
3 Replies
176 Views
  • Redirect
Tumeuliza makusudi ili labda tusije kushambulia Mwehu Mwaipopo ameropoka na amelindwa, swali letu ni hili, ni mzima au ni kichaa?tusije kuchuma dhambi
7 Reactions
Replies
Views
Siku moja baada ya Keir Starmer kutangaza kujiuzulu, mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Labour, Andy Burnham, ameapishwa tena kuwa Mbunge wa jimbo la Makerfield, hatua inayotajwa kuwa mwanzo wa...
2 Reactions
12 Replies
228 Views
Kumekuwepo na viwanja vidogo vya ndege airstrips na runways ndani ya mbuga ya Serengeti, ambavyo vinaendeshwa bila taratibu za kujitosheleza za kiusalama na ufuatiliaji wa kutosha. Urahisi wa...
0 Reactions
3 Replies
78 Views
Kosa kubwa tulilofanya ni kuruhusu Wafanyabiashara kuingia kwenye siasa! Wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna kitu kama hicho! Ukishamruhusu Mfanyabiashara kuingia kwenye Siasa kuna muda atafanya...
9 Reactions
19 Replies
463 Views
Mungu ibariki Tanzania, Kutokana na kile kinachoendelea katika mijadala mbalimbali hata Bungeni kwakweli kinazidi kuleta mpasuko juu ya Muungano huu wa Tanganyika na zanzibar. Alisimama Mbunge...
0 Reactions
2 Replies
112 Views
KIGOGO TAMISEMI MATATANI, ATUHUMIWA KUMILIKI ENEO LA WAZI ZIWA VICTORIA Kigogo mmoja Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) akishirikiana na mtu mmoja mkazi wa Jiji...
1 Reactions
2 Replies
149 Views
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ametoa ufafanuzi wa kina leo Juni 23, 2026 bungeni kuhusu dhana ya Pato la Taifa (GDP) na Pato la Kila Mtu (GDP per capita), kufuatia kile...
2 Reactions
8 Replies
126 Views
Mwandishi: Nikikurudisha nyuma Profesa, 2018. Tupo kwenye uhuru. Unahisi maneno yako uliyotoa kwamba, "Bunge ni dhaifu," tungeweza kurudisha labda muda 2018, ungeyafuta yale maneno au ungesimama...
0 Reactions
1 Replies
121 Views
Waswahili walisema, ukila na kipofu usimguse mkono. Kwa kauli za waZanzibari, wengine mawaziri , za hivi karibuni, sasa Bunge limewaka. Mbunge Waitara kutoka Mara amemtaka mbunge wa Zanzibar...
0 Reactions
12 Replies
382 Views
Huyu mtoto anaharibikiwa kisaikolojia,mtoto anayetakiwa kushikwa mkono anamshika Mama yake mgongoni,kwa sababu Mama yake anatembea kwa magoti na mikono,yule mtoto anatazama watu anaogopa anahisi...
8 Reactions
33 Replies
667 Views
Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu. Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025...
26 Reactions
77 Replies
738 Views
Hata Mungu anatowatoa wanawaizrael nchi ya utuma kuwangiza nchi ya ahadi agizo kubwa ilikuwa kwamba watende haki.Mungu anamchukia sana mtu amabaye hatendi haki. Isaya 32 :16-17 16 Ndipo hukumu...
0 Reactions
4 Replies
101 Views
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono...
7 Reactions
60 Replies
965 Views
Alicia Magabe Lissu, mke wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza katika Tume ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ulaya Juni 22, 2026. https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=W3TwYxnjA2tClQrR
4 Reactions
12 Replies
389 Views
SASA KENYA INAJIELEKEZA KWENYE SEKTA BINAFSI ZAIDI KATIKA UJENZI WA TAIFA LAO, Mfano, Katika bajeti ya Kenya ya mwaka wa fedha 2026/27, serikali imeweka mkazo mkubwa wa kimkakati kwenye...
3 Reactions
9 Replies
470 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…